Ujio: Jf moro mpooooo?-nipokeeni!

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,542
12,404
Habri wanaJf kwa ujumla?
Nitakuwa Moro Kuanzia J5 na nafikiri ndio itakuwa sehemu ambayo ntalazimika kula Pasaka yangu huko.

Naomba Company kwa wale wanaJF walio Morogoro town nasikia wenyewe mwaita Mo-Town!!

Ntafurahi kama ntapata sehemu ntakayocheza Old skul na Flashback za 80's na early 90's nijuzeni basi mahala bomba pa kujivinjari nikiwa huko.

Nawasilisha!!!
 
Back
Top Bottom