Nyangaluda
Senior Member
- Dec 28, 2010
- 100
- 49
Hongera sana Mh Kigamboni ndio New Dar es Salaam ilipo mm nina site Mwasonga najipanga taratibu nianze ujenzi
Mkuu ni wapi zilipo ofisi zao naomba website zaoBinafsi nimeshatembelea miradi yote miwili yaani DEGE na AVIC.
AVIC unaeleweka zaidi na nyumba zao zimekaa vizuri ni bungalows na villas, DEGE naona kama wanajenga hostels. Anyway, take your time utembelee ufanye uamuzi mwenyewe.
Uchukue kwa nguvu halafu uende mahakamani. Si ndio akili za yule mnyama tukiwaita tunapigwa ban. Akili za makalioni zina athar kubwa sanaDawa ya Huyo Akbaru ni kuyachukua kinguvu hayo maeneo au kupeleka shauri kwenye mahakama za zinazoshughulikia ardhi ili anyang'anywe maana hayajaendeleza kwa zaidi ya miaka mi3,serikali inasisitiza kilimo kwanza huku wao wenyewe hawa walk the talk!
Ni mradi wa ujenzi wa nyumba takribani 7,000. Mradi huu ni ubia kati ya kampuni ya Azimio na NSSF.
Bw Iqbal ni mwenye eneo hilo na mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Azimio.
Dkt Faustine Ndugulile
MB-Mbunge Kigamboni
Wametoa ajira?Na Mkuranga nayo ina Wachina kibao wanatengeneza yebo yebo, tunakula nao kuku wa kienyeji mitaa ya Dundani/Mwanambaya. Mitaa ya Kisemvule kwenda mbele ni Hwang Hoo.
Yaani muda si mrefu mbegu zitakuwa zimetapakaa kila mahali mwisho utafikiri upo GuangzhouWametoa ajira?
Si tembo nauliza akina Tembo, ni ukoo huo walikuwa hapo Dundani na Kariakoo, Udoe street. Maana Udoe naona nyumba yao waliiuza limekuwa ghorofa.
Ndiyo nauliza Dundani bado wapo? Au na huko wameshavuta ndefu?
Mbunge,
Sina matatizo yeyote na bw. Iqbal kuwa ndiye mtamalaki wa eneo hilo. Tatizo langu ni kuwa kwa asli eneo hilo lilikuwa la wananchi wa sehemu hiyo. Ulifanya nini kuyalinda maslahi yao na kuhakikisha wanapewa bei ya ardhi muwafaka? Naamini wananchi hao bado ni maskini wa kutupwa. Na hivi ndivyo ilivyo kwa miji yetu yote. Wenyeji wanasukumwa zaidi kwenye ncha bila ya kufaidika na hodhi zao, wakati wenye madaraka wanaangalia tu. Lakini acha nisi jump to the conclusion, hebu tuambie majaaliwa ya wananchi wa asili ya eneo hilo?
Sheria inasema kama haujaendeleza eneo kwa mda wa miaka mi3 serikali inalichukua na kuligawa kwa watumiaji wengine.Uc
Uchukue kwa nguvu halafu uende mahakamani. Si ndio akili za yule mnyama tukiwaita tunapigwa ban. Akili za makalioni zina athar kubwa sana
Ukishajua mwenyewe ni nani utafaidi nini, kwanini usiwaze yako?story za kijiweni hizoWana jamvi,
Kuna mradi mkubwa wa ujenzi wa magorofa unaendelea Kigamboni. Ni Kigamboni ndandani mbele Zoo na naambiwa unaitwa "Dege Eco Village".
View attachment 419269
Wengi wa wafanyakazi ni wazungu wenye asili ya Kituruki. Kazi inafanyika usiku na mchana.
Wenye ukweli kuhusu mradi huo mtujuze.
Karibuni wanajamvi.
=====
BAADHI YA MAJIBU:
MBUNGE:
====
MDAU:
Kwanza kabisa Waturuki sio Wazungu na wala sio Waarabu .Waturuki ni Waturuki tu Je Serikali ya Rais Magufuli haina habari?Wana jamvi,
Kuna mradi mkubwa wa ujenzi wa magorofa unaendelea Kigamboni. Ni Kigamboni ndandani mbele Zoo na naambiwa unaitwa "Dege Eco Village".
View attachment 419269
Wengi wa wafanyakazi ni wazungu wenye asili ya Kituruki. Kazi inafanyika usiku na mchana.
Wenye ukweli kuhusu mradi huo mtujuze.
Karibuni wanajamvi.
=====
BAADHI YA MAJIBU:
MBUNGE:
====
MDAU:
zitakuwa ni sehemu za kuishi watz au kutakutakuwa wageni wawekezaji...........nakumbuka mradi huu ulianza enz za jk..sijawahi kupata maelezo ya kina kuhusu hii miradiBinafsi nimeshatembelea miradi yote miwili yaani DEGE na AVIC.
AVIC unaeleweka zaidi na nyumba zao zimekaa vizuri ni bungalows na villas, DEGE naona kama wanajenga hostels. Anyway, take your time utembelee ufanye uamuzi mwenyewe.