Ujasiriamali: Uza luku, vocha za modem, airtime na startimes kwa NOKIA C2 ya TShs. 145,000 tu.

mm ni mjasiriamali na niliwahi kuandika idea tya kuuza services kama hizi, lakini kulingana na maelezo yako nahc kama hayajajitisheleza, unamaanisha nini vile?
 
Kwani Simu mchina ya alfu 20 haiwezi kufanya hizo kazi??
 
mm ni mjasiriamali na niliwahi kuandika idea tya kuuza services kama hizi, lakini kulingana na maelezo yako nahc kama hayajajitisheleza, unamaanisha nini vile?
simu ya nokia imeunganishwa na mitandao yote minne
, tanesco, na startimes. Nakuwekea salio, nawe unatumia hilo salio kuuza kwa wateja. Kama unataka kujua zaidi ni-sms. Namba nilitoa hapo juu.
 
Yaani nakuuzia simu. Hiyo simu inakuwezesha kuuza vocha za aina zote (voda, tigo, zantel na airtel) kwa kiwango chochote. Inakuwezesha kuuza Luku, inakuwezesha kuuza vifurushi vya startimes, pia utauza vifurushi vya mordem za mitandao ya voda, tigo, zantel, airtel.
 
hizi nokia c2 tunazotumia kwa shughuli hii ziko programmed toka kiwandani kwa lengo hili. Mchina wa buku 20 hawezi kumudu program hizo.
 
hizi nokia c2 tunazotumia kwa shughuli hii ziko programmed toka kiwandani kwa lengo hili. Ila kama una samsung galaxy naweza kukuunganisha kwa shs. 70,000.
 
Ujasiriamali:
Uza Tanesco Luku; Vocha za modem na airtime -kwa mitandao minne; na salio la startimes kwa NOKIA C2 ya TShs. 145,000 tu. Mitandao tunayohudumia ni Tigo, Airtel, Vodacom, Zantel.

Commission unalamba baada ya kila transaction. Hauhitaji kusubiri mwisho wa mwezi.
Tunahitaji copy ya Driving license, au Voter's ID au Passport.

Upcountry retailers wataongeza TShs. 10,000 kwa usafiri wa simu.

Call 0754-260633

Kaka nataka sana kazi hii maana nina ofisi sehemu fulani
Je nitakujaje kununua hiyo simu?
Asante
 
Naomba pia unielezee je nita print vipi manunuzi ya mteja kwa mfano wa LUKU?
Naomba maelezo zaiodi
 
Asante kwa kuonyesha interest bro. Simu zipo na namba yangu ni 0754260633 au 0714568089. Kwa hapa dar tunakuja mahali ulipo. Wako vijana wenye ma-pikipiki na supervisors wenye magari. Saa sita leo mchana nasajili mtu mitaa ya Mbezi-Kawe.
 
Asante kwa kuonyesha interest bro. Simu zipo na namba yangu ni 0754260633 au 0714568089. Kwa hapa dar tunakuja mahali ulipo. Wako vijana wenye ma-pikipiki na supervisors wenye magari. Saa sita leo mchana nasajili mtu mitaa ya Mbezi-Kawe.
 
mteja anapata sms ya luku token ktk namba ya simu utakayo-specify. Pia uki-request receipt unaipata toka tanesco hadi ktk email utakayo-specify
 
Kaka vipi ndugu hii ina tofauti na zile selcomwireless paypoint ?
mtu akinunua vocha namba anapataje au hii ni vocha rusha ?
Commission ni ngapi je ni 5% kama wengine au zaidi (kwenye voucher)
Commission kwenye luku ni ngapi ?
Kama ni voucher rusha kwanini simu ya kawaida isifanye, ?
Kwa ushauri wako zile paypoint kama selcom ni bora kuliko hii yako au yako ina ubora gani zaidi na kujaza salio la kuuzia unajazia wapi benki au mmpesa?
 
Kaka vipi ndugu hii ina tofauti na zile selcomwireless paypoint ?
mtu akinunua vocha namba anapataje au hii ni vocha rusha ?
Commission ni ngapi je ni 5% kama wengine au zaidi (kwenye voucher)
Commission kwenye luku ni ngapi ?
Kama ni voucher rusha kwanini simu ya kawaida isifanye, ?
Kwa ushauri wako zile paypoint kama selcom ni bora kuliko hii yako au yako ina ubora gani zaidi na kujaza salio la kuuzia unajazia wapi benki au mmpesa?

Tujibu basi kaka maana nasi tumeishajipanga kununua hiyo simu ya NOKIA C2
Asante kaka
 
Kaka vipi ndugu hii ina tofauti na zile selcomwireless paypoint ? - Yes; Compare cost of equipment, size of equipment and start-up capital.
mtu akinunua vocha namba anapataje au hii ni vocha rusha? salio la vocha linaingia moja kwa moja kama salio, hakuna token number.
Commission ni ngapi je ni 5% kama wengine au zaidi (kwenye voucher)- angalia kamisheni hapa chini.
Commission kwenye luku ni ngapi ? 2% na unaipata (realize) kwa kila transaction (muamala)
Kama ni voucher rusha kwanini simu ya kawaida isifanye, ? simu ziko na special program. Ukiwa na samsung galaxy tunakuwekea program kwa Tshs. 70,000.
Kwa ushauri wako zile paypoint kama selcom ni bora kuliko hii yako au yako ina ubora gani zaidi na kujaza salio la kuuzia unajazia wapi benki au mmpesa?
. Linganisha uzito na ukubwa wa kifaa, gharama za ku-print receipt, muda wa kupokea kamisheni yako then amua mwenyewe. Kwa sasa (kwa dar) salio tunakujazia mahali ulipo. Wa mikoani tunatumia crdb bank au mpesa.

ANGALIA HAPA KWA UFAFANUZI ZAIDI

Distributor of Button Pay Services

Acquire a single mobile phone, NOKIA C2-00 (Dabo Dabo) and use it to SELL the services below:

Advantages:
Immediate registration of retailer
Earn commission instantly after every sell
Commission rates are high
Buy wholesale balance, a.k.a float, electronically, no need to carry cash
For Dar es Salaam, a team of collection agents on motorbikes collects cash and recharges you on the spot
Use a single sim-card; the other line is free for own use
The service is supported by most stable service provider with widest coverage


Product/Service
Retailer Commission
(Percentage of sales)


TANESCO LUKU
2%


STARTIMES RECHARGE
3%


MODEM TOP UPS

AIRTEL
5%
VODACOM
5%
ZANTEL
5%
TIGO
4.5%


AIRTIME VOUCHERS

AIRTEL
5%
VODACOM
5%
ZANTEL
5%
TIGO
4.5%


A single pre-programmed handset costs TShs.145,000/= only
(Up-country retailers need to add ferrying charges)
Minimum Start up Float TShs. 55,000

All you need is Identity Card:
Voter’s or Passport or New Driving Licence.

Training is quick and free
Call now: 0714 568089, 0754 681345, 0782 633342.
 
. Linganisha uzito na ukubwa wa kifaa,
Mkuu kuhusu uzito na ukubwa sioni kama ni disadvantage kama huu mtambo naweka ofisini kwangu tena ukubwa nadhani ni bora ugumu kuibiwa / kupotea depends lakini na mtu (ila nimeongea na hawa jamaa wengine wanasema wenyewe wanatoa mpaka DSTV sasa nyie mnadhani mtatoa hii lini (au mnatoa tayari) sababu hii ni disadvantage kwenu


gharama za ku-print receipt, muda wa kupokea kamisheni yako then amua mwenyewe. Kwa sasa (kwa dar) salio tunakujazia mahali ulipo. Wa mikoani tunatumia crdb bank au mpesa.

Okay kwahio hii yenu mtu anakupa namba yake unamuingizia namba na kumtumia (lakini hii sio kwamba inachukua muda kuanza kujaza namba za simu ?,yes receipt depends cost yake, lakini labda inasave time kuprint receipts mara moja kuliko kujaza simu za kila mteja kwenye simu ili apate voucher au ? (alafu labda mtu katumwa voucher na hajui namba yake sasa kurusha si itakuwa tabu ?)

Anyway ni mtambo mzuri hususan cost (sababu nadhani wale selcom ni laki 3, ingawa sijui uimara wa mtambo wao huenda unakidhi hio laki 3)..., na kuhusu kupewa commission sijui kuhusu hawa jamaa unavyosema nyie mnalipa hapo hapo kwani wale jamaa wanalipa lini.., inachukua muda gani commission kuingia..?

Asante lakini, je mna mpango wa kujiunga na DSTV pia ?
 
Back
Top Bottom