Ujasiri wa kidemokrasia tarime

Bado sijajua inakuwa vipi kama watu wa vijijini tarime wanajua maana ya mabadiliko lakini mtu wa mjini kama dar au miji mingine mikubwa bado wamekuwa ving'ang'anizi wa CCM.Kuna watu walikuwa mashabiki wakubwa wa Obama wakati wa kampeni zake lakini hao hao hawataki kusikia mabadiliko yanatokea Tanzania kwa CCM kuwekwa kando.Sijui ni upunguani au nini
 
PCMAN CD hii inapatikana wapi? Tafadhari sana inahitajika. Je Mwanakijiji DC hii unayo?
 
Ccm sio kwamba huwa wanashinda kura bali mabavu ndio ushindi wao. Iko siku wataitafuta haki wasiione tena. Amani na utulivu kwao ni ndoto. Ni chama dhalimu. Kutoa watu ngeo za risasi huo ni upunguani. Ndo maana wanadondoka majukwaani. Halafu hawa askari nao kama mazezeta tu.
 
yakujitakia

Kama ya Mwembechai na Pemba ni ya "kujitakia" basi acheni kumwaga machozi ya mamba ya "ujasiri wa kidemokrasia" kwenye haya ya Tarime.

Wenzio nimewabana makende yao ya udini, wameamua kuuchuna lakini wewe udini mpaka kwenye nyayo ukashindwa na ukaonyesha kuwa ni mbweha uliyevaa ngozi ya kondoo! :tonguez:
 
Back
Top Bottom