Ujasiri ni.....

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
4,970
6,964
1.Ujasiri si kuzuia moyo usidunde,ni kumuonesha adui yako huogopi.
2. Ujasiri ni kukemea maovu ya serikali huku ukitumia ID halisi(kama mimi).
3. Ujasiri ni kujitahidi kuongea kwa confidence wakati uko na wenzako katika bench la kusubiria kuingia kwenye interview.
4. Ujasiri .......endeleza
 
Ujasiri ni kufanya jambo ambalo wengine hawawezi na lina madhala kwako ukilifanya...
 
ujasiri ni kukimbia unais jambo la hatari na kurudi unapois ni upuuzi kufanya hivyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom