Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,956
- 4,648
Kilaza aliamua kutokwenda shule lakini ili kuepuka na adhabu kali ikabidi atumie ujanja.
Kilaza aliamua kupiga simu kwa mwalimu mkuu na kujifanya yeye ni Baba Kilaza hivyo alikuwa anamwombea ruhusa Kilaza kuwa hatokwenda shule. Huku Kilaza akijitahidi kuongea sauti nzito ili iendane na ya mzazi wake, maongezi yalikuwa hivi...
MWALIMU MKUU: Haloo.
KILAZA: Habari yako mwalimu Mkuu..... Namwombea ruhusa Kilaza, hatokuja shule leo.
MWALIMU MKUU: Sawa nimekuelewa, lakini naongea na nani?
KILAZA: Unaongea na Baba yangu.