Ujambazi na mauaji Arusha waanza tena

mwanapolo

Senior Member
Mar 29, 2011
193
56
Leo asubuhi kulikuwa na tukio la kutaka kupora hela zilizokuwa zinaingia ofisi ya kuuzia madini ya Classic, kwenye purukushani hizo majambazi walimpiga risasi mlizi Joseph na kumwua hapohapo ila walishindwa kupora hela kwani zilikuwa ziengizwa ofini tayari. Inaonyesha hao majambazi walikuwa na habari kuwa kuna hela inaingia kwenye hiyo ofisi ndio maana waliweka mitego pale ofsini kwa nje.
Kilichonisikitisha zaidi ni kumuua mlinzi ambae hana kosa lolote na pia alikuwa mtu wa watu, vijana wote wanao uza Tanzanite kwenye hiyo ofisi ni rafiki nao. na matukio kama haya tulikuwa tumeyasahau hapa arusha kwetu, kuna mkono wa mtu hapa kwenye hili tukio na polisi wanamjua na yupo uraiani kwa sasa.
 
Mkuu mimi wakati tukio hilo linatokea nilikua niko kwenye ofisi za Vodaphone ambazo ziko karibu sana na ofisi hiyo ya mawe kwakweli ni tukio lakusikitisha sana la kumuua yule mlinzi. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.:rip:
 
Mkuu mimi wakati tukio hilo linatokea nilikua niko kwenye ofisi za Vodaphone ambazo ziko karibu sana na ofisi hiyo ya mawe kwakweli ni tukio lakusikitisha sana la kumuua yule mlinzi. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.:rip:

Dah...hii ni hatari....ki ujumla Arusha mjini ni sehemu ya hatari sana hata kwa wanojipitia zao barabarani.....mambo kama haya hutokea mara nyingi na hata nilishawahi kushuhudia moja.....hilo duka la mawe lipo sehemu gani?
 
Kwani hapo Arusha mauaji na uporaji uliwahi kukoma?! Hakuna jipya.
 
wachimba mawe wadogowadogo wakiyakosa mererani kwa muda mrefu,hurudi mtaaani kwa spidi ya nyati,kukaba kupora,na hata kuua. NA SUALA HILI SI GENI KWA POLISI, Na wengine hudiriki kushirikiana na polisi ktk kufanikisha hili. mkoa huo unahitaji mabadiliko ya kiuongozi ktk jeshi la polisi na ktk kamati ya ulinzi na usalama. KWA UJUMLA ARUSHA AMANI ILISHATOWEKA SIKU NYINGI. KUNYWA GONGO,KUSAGA GOMBA NA KUVUTA BANGI HADHARANI NI MAMBO YA KAWAIDA NDANI YA JIJI HILO. SAWA JOMBAAAA? MZUKA TU KWAO!
 
Huyo RPC mnyakyusa anajua kuua wafuasi wa chadema tu lakini majambazi yanamshinda!! Mrudisheni Afande Kombe kazini muone kama jambazi atafurukuta hapo Arusha!
 
Tatizo kubwa la Arusha City ni kuwa kila kijana anataka kushika hela na kutanua bila kutoka jasho...
Hakuna kijana duniani asiependa pesa. Nina hakika vijana wa Ar ni wahangaikaji sana kuliko vijana wa mikoa mingine, kwani ni mkoa unao ongoza kuwa na vijana matajiri
 
Huyo RPC mnyakyusa anajua kuua wafuasi wa chadema tu lakini majambazi yanamshinda!! Mrudisheni Afande Kombe kazini muone kama jambazi atafurukuta hapo Arusha!
Hakuna askari asie jambazi, believe me!
 
huyu mmeru ameanza tena.....

Acha hizo wewe! Nitakuibukia sasa hivi! Yaani kila kitu mmeru! Hata bata kaibiwa mmeru! Tutakusaka mujomba!
Mh! Usiogope sana sisi hatuna visasi ila jua huyo ni ndg yangu! Kwa hili mnamsingizia jamani.
Ila na watu wetu huku wana perepere nyingi sana, pesa kidogo tu wanajitangaza sana waonekane wanazo.
Hapa bwana watu wana masifa sana na tamaa nyingi.
 
Back
Top Bottom