Uislam unaogopa Ukristo?

Status
Not open for further replies.
Hawa waislamu wamefuata maagizo ya Yesu.Huyu alikwenda!wachokoza,Yesu alisema "Sikuleta amani,bali nimeleta upanga",Matthew 10:34-36.
Waefeso 6:11
Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.

12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

13 Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama.

14 Basi simameni, hali mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani,

15 na kufungiwa miguu utayari tupatao kwa Injili ya amani;

16 zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu.

17 Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu;

18 kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote;
 
Kuna video fulani ya ambayo nimeona leo imenishangaza na kunichekesha pia, katika kijiji kimoja huko Senegal kuna jamaa mmoja ambaye ni mkristo
alikuwa anashambuliwa na watu eti kisa ameleta ukafiri katika kijiji chao.

Matukio ni mengi saana ila any way unafikiri ni kwanini katika nchi za kiislam ni vigumu kuanzisha dini ya kikristo?
wewe unaweza anzisha uislam vatican?
 
Yesu alisali kama waislamu wanavyosali,baada ya kugunduwa waislamu wako sahihi
Matthew 26:39
MARK 14:35
Huyo aliyepigwa yaonyesha alikwenda wachokoza waislamu.Waislamu hawana upumbavu wa kupigwa shavu la kushoto,umpe na la kulia.
Ndio Yesu "akasema msidhani nimeleta amani,bali nimeleta upanga".Matthew 10:34-36.Hao waislamu wamechukuwa maneno ya Yesu,anayekuchokoza usimuache,jibu mashambulizi.
Ujinga unawasumbua MBna ninyi mkianzisha msikiti mahali hakuna mkristo atauliza Lkn nyie mkristo akianzisha mahali mmampiga upuuzi tu
 
Kuna video fulani ya ambayo nimeona leo imenishangaza na kunichekesha pia, katika kijiji kimoja huko Senegal kuna jamaa mmoja ambaye ni mkristo
alikuwa anashambuliwa na watu eti kisa ameleta ukafiri katika kijiji chao.

Matukio ni mengi saana ila any way unafikiri ni kwanini katika nchi za kiislam ni vigumu kuanzisha dini ya kikristo?
Ukirito ni ukafiri sehemu yenye wakirito wengi hakuna mila wala tamaduni wao kazi yao kutunga sheria zinazo kataa dini na kuhalalisha ushenzi ndio maana ukirito sehemu yenye jamii ya waisilamu hawapendi tazama ulaya Marekani utapata jibu
 
Mila na desturi ni mambo ya makabila sio mambo ya dini
Pili

Wagalatia

Ni wazi kwamba hakuna mtu anayehesabiwa haki mbele za Mungu kwa kutimiza sheria, kwa maana, “Mwenye haki ataishi kwa imani.” 12 Lakini sheria haitegemei imani kwa maana, “Atimizaye maagizo ya sheria ataishi kwa sheria.”

Na tatu

Mathayo 7:1

“Usihukumu ili usije ukahukumiwa

Warumi

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.

1 Timotheo 6:12

Pigana vile vita vizuri vya imani. Shika uzima wa milele ambao ndio ulioitiwa ulipokiri ule ukiri mzuri mbele ya mashahidi wengi
 
wangekua wanaogopa Basi wasingemshambulia, ukiona wanamshambulia ujue hawamuogopi
 
Yesu alisali kama waislamu wanavyosali,baada ya kugunduwa waislamu wako sahihi
Matthew 26:39
MARK 14:35
Huyo aliyepigwa yaonyesha alikwenda wachokoza waislamu.Waislamu hawana upumbavu wa kupigwa shavu la kushoto,umpe na la kulia.
Ndio Yesu "akasema msidhani nimeleta amani,bali nimeleta upanga".Matthew 10:34-36.Hao waislamu wamechukuwa maneno ya Yesu,anayekuchokoza usimuache,jibu mashambulizi.

Kuleni vyuma hivyo
 
Hebu nifanye nami niwe mkristo au muislam kwa kunijibu kwa utimamu maswali haya:-

1. Kwanini wateule wa Mungu wote ie. Masihi, mitume (sio mitume ya Mbeya), nazungumzia wakina Mussa, Ibrahimu, Daud, Yesu, Muhammad nk. ni watu weupe na walitoka Mashariki ya Kati?
Kwanini wanasayansi wote wakubwa wa zamani wanatoka Mashariki ya Kati au Ulaya?
2. Kwanini alama yoyote ya Uungu inahusishwa na watu weupe? Mfano malaika wanatambulishwa kwa rangi ya watu weupe?
Kwanini maandishi kama haya tunayotumia (arabic letters) yanatoka Mashariki ya Kati?
3. Kwanini watakatifu wote ni wazungu na masharifu wote ni waarabu?
Kwanini wanasayansi wakubwa wengi ni wazungu?
Ndipo ilipoishia akili ya mwafrika kuabudu miungubya watu wengine.
Kwanini mwafrika asitengeneze magari yake na kompyuta zake mwenyewe na kuachana na vya wazungu?
 
Hebu nifanye nami niwe mkristo au muislam kwa kunijibu kwa utimamu maswali haya:-

1. Kwanini wateule wa Mungu wote ie. Masihi, mitume (sio mitume ya Mbeya), nazungumzia wakina Mussa, Ibrahimu, Daud, Yesu, Muhammad nk. ni watu weupe na walitoka Mashariki ya Kati?

2. Kwanini alama yoyote ya Uungu inahusishwa na watu weupe? Mfano malaika wanatambulishwa kwa rangi ya watu weupe?

3. Kwanini watakatifu wote ni wazungu na masharifu wote ni waarabu?

Ndipo ilipoishia akili ya mwafrika kuabudu miungubya watu wengine.
Nakujibu kama ifuatavyo

1) kama Mungu angeleta manabii katika Kila Kona ya Dunia sahizi ingekuwa furugu watu wangepotezana sana vitabu vya Mungu vingekuwa vingi na dini za uongo zingekuwa nyingi

Ndio maana Mungu alipotaka kujenga misingi ya dini Kwa binadamu alimchagua Ibrahim ndio awe core na Mitume na vitabu vyote vitokane na uzao wake kupitia watoto wake 2 Ishmael na Isihaka

JE ! Uliwahi kujiuliza Kwa Nini Mungu alijifunua Kwa binadamu wakati technology ikiwa ipo chini sana? Jibu ni kuwa hayo maandiko yangechakachuliwa kwa Kasi ya 4G the same kama angeleta Mitume kutoka Kila Kona ya Dunia

2) Malaika ni weupe Kwa sababu waliokuwa wanaandika hayo majarida ni hao hao watu weupe

3) watakatifu wa kikristo wote ni wazungu Kwa sababu wao ndio walioianzisha hiyo dini
 
Labda nikubaliane na wewe kuwa Mungu hakuleta mitume na manabii kila kona ili kusiwe na vurugu za kiimani.

1. Sasa nikuulize ndugu, kwakuwa
mitume na manabii wameshuka
Mashariki ya kati pekee, je vurugu
za kiimani hakuna duniani?

2. Kwanini huko Mashariki ya kati kwenyewe walikoshuka mitume na manabii ndiko kunakoongoza kwa vurugu za kidini hata baina yao?

3.Kwani lengo la kuja waarabu na wazungu huku Afrika ni kutuletea dini eti kwakuwa hatukuwa nayo au kufanya mambo yao hasa biashara?

4. Kwanini watu wako wa dini ya kweli Hawa waarabu na wazungu walitanya mambo ya kikatili kinyume na dini zao za kweli kama kukamata na kuuza watumwa, kutawala wtu kwa nguvu nk?

Ukweli ni kuwa hizi dini tulizoletewa na wazungu na waarabu tuzielewe lakini tusikariri na kutuondolea undugu wetu wa asili yaani uafrika wetu, utaifa wetu kiasi cha kubaguana. Simpi kazi huyu kwakuwa muislamu au mkristo sio sawa.
 
1) Vurugu za kiimani zipo zinazotokana na hulka ya kibinaadamu lakini tayari mwanga upo kuwa Mungu alishusha manabii na vitabu mashariki ya kati hivyo basi anayetaka kujua Dini ya kweli hana budi kusoma na kufuata maagizo ya hao manabii na vitabu vyao

2) Vurugu zilikuwepo ni za kisiasa sio kidini katika nchi za kiislam wanachochoe hizo Vurugu ni wazungu
Wazungu wanajua kabisa nchi za kiislam zikiwa na amani iliyo stable basi uislam utaenea Dunia mzima na wazungu hawataki hilo rejea nchi ya Libya na mgogoro wa Palestine

3) Katika uislam walioeneza dini na waliokuja kufanya biashara ni makundi mawili tofauti waliokuja kufundisha ni mashekhe hata hao waze wetu waliofundishwa dini walikuwa na mtiririko kuwa Mimi nimesoma Kwa shekhe Fulani ambaye ni mwanafunzi wa Imamu Fulani huo mtiririko utaenda na kufika katika wale maimamu wanne

Sasa wafanya biashara watafundisha dini saa ngapi wakati wao Kila siku safari kutafuta bidhaa na kwenda kuuza bidhaa

4) Uislam unakataza utumwa na biashara ya watumwa na ndio maana hata Mtume alikuwa anatoa pesa zake Ili kuwakomboa watumwa wawe huru
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom