Uingereza yasaidia Tanzania

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,126
SERIKALI ya Uingereza imetoa shilling Bilion. 25 kuisaidia Tanzania kwa ajili ya shughuli ya sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kuanza Agosti 26 mwakani. Jana Balozi wa Uingereza nchini Bi. Diane Corner alikabidhi msaada huo, uliotolewa na nchi hiyo na kukabidhi msaada huo kwa Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustapha Mkulo
Waziri Mkulo aliishukuru serikali hiyo kwa kutambua pengo lao na kushukuru kwa kusema msaa huo umekuja wakati muda muafaka

Alisema seriklai hiyo imefanya vyema kukabidhi msaada huo kwani kulikuwa na gharama kubwa katika zoezi hjilo na kwa fefehda hizo watajipanga vyema na kuhakikisha zoezi hilo litafanyaika kama ilivyopangwa

Nae Bi Corner amesema kuwa serikali yake inajua kiasi hicho cha fedha, kitasaidia kufanikisha sensa ya mwaka 2012, ambayo matokeo yake yatasaidia katika kuweka mikakati ya kupunguza umasikini nchin

"Kiasi hicho cha fedha kitaziba pengo la robo ya bajeti nzima ya sensa, ambalo Serikali ya Tanzania iliomba nchi wahisani kulijazia" alisema Balozi huyo

Chanzo: Uingereza yasaidia Tanzania

Sisi Wa Tanzania kwa kupenda misaada!! itabidi tukubali mambo anayo yataka Mr David Cameroon aahahahahahhahaah kutegemea misaada kila siku kunaponza jamani........
 
Mbona walisema msiporuhusu ndoa ya jinsia moja hawatatoa msaada au Jk keshasign kimya kimya kama kawaida yake
 
Hivi tunahitaji sensa?kwani si huwa wanaozaliwa wanaregitiwa,wanaokufa wanaregisitiwa,sasa kupata jumla ya waliopo si easy?hadi tutumie mabilioni kuhesabiana manually
 
Back
Top Bottom