Uingereza: Mbunge George Galloway atangaza Bradford kuwa"Eneo lisilo na Israel"

DesertStorm

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
2,385
1,566

Mbunge mpya wa Uingereza 🇬🇧 aliyechaguliwa huko Bradford George Galloway atangaza Jiji la Uingereza 🇬🇧 kuwa👇

"Eneo lisilo na Israeli 🇮🇱"
"Tumetangaza Bradford kuwa eneo lisilo na Israel 🇮🇱. Hatutaki bidhaa zozote za Israeli, hatutaki huduma zozote za Israeli 🇮🇱, hatutaki.

Hatutaki Wasomi wowote wa Kiisraeli, na hata hatutaki Mtu yeyote aje."Mtalii yeyote wa kiisrael kuja Bradford.....

Ni msimamo wenye busara, kama anayo yaongea ni yakweli basi ni jambo jema, japo sina imani nao hawa watu, tangu wawahamishie kwenye ardhi yao 1947!
 
View attachment 2927066

Hawezi dumu kwa hizo hisia, mwambie kuna Uk halafu kuna tujimbo, jina lake sio Lisu kweli?
 
View attachment 2927066

Mbunge mpya wa Uingereza 🇬🇧 aliyechaguliwa huko Bradford George Galloway atangaza Jiji la Uingereza 🇬🇧 kuwa👇

"Eneo lisilo na Israeli 🇮🇱"
"Tumetangaza Bradford kuwa eneo lisilo na Israel 🇮🇱. Hatutaki bidhaa zozote za Israeli, hatutaki huduma zozote za Israeli 🇮🇱, hatutaki.

Hatutaki Wasomi wowote wa Kiisraeli, na hata hatutaki Mtu yeyote aje."Mtalii yeyote wa kiisrael kuja Bradford.....

Ni msimamo wenye busara, kama anayo yaongea ni yakweli basi ni jambo jema, japo sina imani nao hawa watu, tangu wawahamishie kwenye ardhi yao 1947!
Ataomba passport watu wote wanaoingia Bradford?

Hata wakimbizi wanaokimbia vita Israel atawakataa, kinyume na sheria za kimataifa?
 
Ni msimamo wenye busara,
Screenshot_20231215-153324.png
 
Hakuna taifa la Mungu linaloruhusu ushoga.
Kwenye ushoga hapo.......bora wao wamejiweka wazi........ila sisi na waarabu na watu wa asia ya mbali.......na latin america...... Kuna mashoga wengi na tunapenda kuwalawiti wanawake ila sababu sisi ni wanafiki hatujiweki wazi kuhusu hilo.........mfano mzuri zenji.
NB: MUNGU WAO NI YEHOVA SIO MUNGU WA KIARABU ALLAH.....!!!!
 
View attachment 2927066

Mbunge mpya wa Uingereza 🇬🇧 aliyechaguliwa huko Bradford George Galloway atangaza Jiji la Uingereza 🇬🇧 kuwa👇

"Eneo lisilo na Israeli 🇮🇱"
"Tumetangaza Bradford kuwa eneo lisilo na Israel 🇮🇱. Hatutaki bidhaa zozote za Israeli, hatutaki huduma zozote za Israeli 🇮🇱, hatutaki.

Hatutaki Wasomi wowote wa Kiisraeli, na hata hatutaki Mtu yeyote aje."Mtalii yeyote wa kiisrael kuja Bradford.....

Ni msimamo wenye busara, kama anayo yaongea ni yakweli basi ni jambo jema, japo sina imani nao hawa watu, tangu wawahamishie kwenye ardhi yao 1947!
Toka mwaka 1967......nimeshuhudia waislamu na waarabu wakiwachukia wayahudi na kueneza propaganda za kupotosha historia ya wayahudi....sikushangai na wewe.
Kama wayahudi wangekua soft kama babu zao....bas wangeendelea kua watumwa wa waarabu na waturuki......na waajemi na yangewakuta yaliyowakuta walipokua diaspora ulaya na afrika kaskazini na arabuni karne 9 mpaka 17..!!!
NB: Be seriously na historia ya wayahudi ya miaka zaidi ya 9000 kwa kutudanganya kua 1947.....ndio himaya ya israel ilianza🤣🤣🤣🤣
 
View attachment 2927066

Mbunge mpya wa Uingereza 🇬🇧 aliyechaguliwa huko Bradford George Galloway atangaza Jiji la Uingereza 🇬🇧 kuwa👇

"Eneo lisilo na Israeli 🇮🇱"
"Tumetangaza Bradford kuwa eneo lisilo na Israel 🇮🇱. Hatutaki bidhaa zozote za Israeli, hatutaki huduma zozote za Israeli 🇮🇱, hatutaki.

Hatutaki Wasomi wowote wa Kiisraeli, na hata hatutaki Mtu yeyote aje."Mtalii yeyote wa kiisrael kuja Bradford.....

Ni msimamo wenye busara, kama anayo yaongea ni yakweli basi ni jambo jema, japo sina imani nao hawa watu, tangu wawahamishie kwenye ardhi yao 1947!
Toka mwaka 1967......n8meshuhudia waislamu na waarabu wakiwachukia wayahudi na kueneza propaganda za kupotosha historia ya wayahudi....sikushangai na wewe.
Kama wayahudi wangekua soft kama babu zao....bas wangeendelea kua watumwa wa waarabu na waturuki......na waajemi na yangewakuta yaliyowakuta walipokua diaspora ulaya na afrika kaskazini na arabuni karne 9 mpaka 17..!!!
NB: Be seriously na historia ya wayahudi ya miaka zaidi ya 900 kwa kutudanganya kua 1947.....ndio himaya ya israel ilianza🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom