Hata nyoka hakwenda kumdanganya Adam bali alikwenda kwa Hawa na akamdanganya.Leo nilikuwa nafatilia ibada ya mtumishi mwamposa kwenye ibada maalum ya ukombozi...nimeona asilimia 99.9 walio akunguka na kukimbilia madhabauni kwa mapepo ni wanawake...Je kuna uhusiano gani mapepo na wanawake....kwann wanawake wengi wanakumbwa na hayo mapepo
Wengi wao ni kwasababu ya mikopo na Vikoba... huwa inawavuruga sana ....hahahaLeo nilikuwa nafatilia ibada ya mtumishi mwamposa kwenye ibada maalum ya ukombozi...nimeona asilimia 99.9 walio akunguka na kukimbilia madhabauni kwa mapepo ni wanawake...Je kuna uhusiano gani mapepo na wanawake....kwann wanawake wengi wanakumbwa na hayo mapepo
Karibu tena boss, I glad see you againHao wote wamepangwa, sirahisi kumrubuni mwanaume
Kwani Ke aliongea na kiumbe gani bustanini Eden?Leo nilikuwa nafatilia ibada ya mtumishi mwamposa kwenye ibada maalum ya ukombozi...nimeona asilimia 99.9 walio akunguka na kukimbilia madhabauni kwa mapepo ni wanawake...Je kuna uhusiano gani mapepo na wanawake....kwann wanawake wengi wanakumbwa na hayo mapepo
Hakuna mapepo, hizo habari za mapepo ni longolongo za watu tu.Leo nilikuwa nafatilia ibada ya mtumishi mwamposa kwenye ibada maalum ya ukombozi...nimeona asilimia 99.9 walio akunguka na kukimbilia madhabauni kwa mapepo ni wanawake...Je kuna uhusiano gani mapepo na wanawake....kwann wanawake wengi wanakumbwa na hayo mapepo
Nakumbuka mkuu wetu wa shule alikua anacharaza bakora ukitia una pepo.Hakuna mapepo, hizo habari za mapepo ni longolongo za watu tu.
Wale wanawake wengi wana matatizo ya kisaikolojia. Wengi wana msongo wa mawazo. Wengi wana ombwe katika maisha, career, familia.Wengi wanatafuta waume na watoto. Wengine wanatafuta jinsi ya kuoea watoto wao katika nchi yenye uchumi mbaya.
Wanaweza kufanya mengi ya ajabu wakiamrishwa na mwanamme anayejiamini.
Na huyo mwanamme anayejiamini akiweza kuweka narrative ya mysticism, super natural power kama mganga wa kienyeji au nabii wa Mungu, hao wanawake uwezo wao wa kufanya mambo usiyotegemea unazidi.
By the way si wanawake tu, hata wanaume wa hivyo wapo.
Ni kupenda miujiza tu na kuwa na saikolojia ya kupenda kuongozwa na mtu mwenye miujiza.
Kuna mkuu wa shuleni sehemu fulani mkoa wa Njombe alikuwa mwanafunzi wa kike akianguka mapepo anamwita mzazi anamkabidhi mtoto wake na kumwambie aende nae nyumbani, siku akiona amepona kabisa na hana hamu tena ya kuanguka mapepo atamrudisha shuleni. Tabia iliisha kabisa.Nakumbuka mkuu wetu wa shule alikua anacharaza bakora ukitia una pepo.
Shule walikua wanajifanya wana mapepo kumbe uongo tuKuna mkuu wa shuleni sehemu fulani mkoa wa Njombe alikuwa mwanafunzi wa kike akianguka mapepo anamwita mzazi anamkabidhi mtoto wake na kumwambie aende nae nyumbani, siku akiona amepona kabisa na hana hamu tena ya kuanguka mapepo atamrudisha shuleni. Tabia iliisha kabisa.