Uhusiano wa kanga (Ndege) na tabia ya umalaya ni upi?

zegamba180

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
819
530
Jamani wadau naomba kujuzwa hili. Jana katika kutafuta ndege aitwaye kanga ili nianze kufuga, nikakutana na hili; eti ukiwa Malaya kanga hawatagi na watakukimbia????
Nimeambiwa na mfugaji mzoefu.
Nimejiuliza sana uhusiano uliopo kati ya ndege kanga na umalaya! Cjapata jibu, nimelileta kwenu wazoefu wa mfugo huu.
 
cdhan kama kuna ukweli ktk hilo ila nachojua mm ukiwa na tabia chafu zinazo mkera Mungu huwez fanikiwa ktk lolote

koo umeogopa kuwachukua kwa hako katabia chako?????
 
haya mambo ukiyafuatilia unaweza ukaona kama yana ukweli mfano ukiwa na hawa bata maji vifaranga wadogo ukiingia bandani au wakiwa nje ukipita karibu yao kama hujavaa chupi wanaanza kukufata na kutoa vimilio nahisi huwa wanascan na macho yao wanakuwa wanaona mbunya au dushe!!!
 
Jamani wadau naomba kujuzwa hili. Jana katika kutafuta ndege aitwaye kanga ili nianze kufuga, nikakutana na hili; eti ukiwa Malaya kanga hawatagi na watakukimbia????
Nimeambiwa na mfugaji mzoefu.
Nimejiuliza sana uhusiano uliopo kati ya ndege kanga na umalaya! Cjapata jibu, nimelileta kwenu wazoefu wa mfugo huu.
na mimi hapo hapo naomba kufahamishwa hivi hili neno MALAYA linatumika kwa jinsia zote au ni kwa KE tu?kuuliza sio ujinga..
 
Back
Top Bottom