Uhusiano na beki tatu

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,109
2,510
Hivi ni kweli mtu kuwa na uhusiano na beki tatu ni aibu kwa familia na nje ya familia? nimeshuhudia hili mahali.
 
Just a simple question out of curiosity..........Uliposhuhudia ulionaje? Ilikuwa ni aibu au ujiko? That is where I wish to start
 
by the way, hivi kwa nini hao madem wanaitwa ivo? (beki tatu)?
why?how?
 
Hivi ni kweli mtu kuwa na uhusiano na beki tatu ni aibu kwa familia na nje ya familia? nimeshuhudia hili mahali.

KIbaya kama umembaka au umemega bila ridhaa yake ukatumia uboss wako.

Vinginevyo kama mmekubaliana kwa hiari nae anatibiza wajibu wa kikatiba wa kufrahia uhuru wa kungonoka
 
Ni Beki tatu sababu ya necha ya kazi zake, ni mtu anapiga kazi kutwa kucha kudhibiti madhara golini, nadhani si haki kutembea na mtu yoyote nje ya ndoa hata kama si beki three.............., siku mkeo akijua umetembea na house girl ambae yeye anaamini ni mtu ana report kwake kikazi na kijamii itamuuma sana, utakuwa umemdhalilisha sana na umemkosea vilivyo maana beki tatu ataanza kujilinganisha na hataona tofauti kati yake na mama wa nyumba ni sawa na wewe ukigundua mkeo anapakuliwa na house boy, inauma sana na nadhani dawa pekee ni kutulia tu
 
Kwa mtu ambaye hajaoa bado tuseme yupo 'single' in marital status, huyo akiunda uhusiano takatifu na beki tatu ni uchafu au?
 
wasaidiza wa ndani kiukwel watamu uwapate wa iringa au singida,jaman nyie acheni,waliopitia hapo mtanisaidia kujazia pointi.

Kumbuka:Haina makombo.
 
iko familia moja, watoto walikuwa wakirudi likizo toka boarding wanapakua beki tatu, ambaye alikuwa hana hiana! Badae baba nae akapakua. kama kawaida baba anapakua mkewe. finali? Kumbe beki tatu alikuwa na ngoma! Tuliizika familia mmoja baada ya mwingine...!
 
Back
Top Bottom