NCCR wamechemsha maana 1963 Uhuru wenyewe nchi iliendeshwa na Sultan, (actually Uhuru halisi wa Zenj ulikuja baada ya Karume kufa - April 7th)(yes i kno wengine mtakasirika kusikia hiyo...)
Hatukasiriki kwani siku hiyo kuna mtu alitimiza lengo lake na kuimeza Zanzibar kwa ujumla. Kabla ya tarehe hiyo kulikuwa na mtu aliekuwa ngangari na jitihada zilipotimu nchi akapewa Mtanganyika nae kama alivyosema mwenyewe 'mtu kwao' akaigawa Zanzibar.