Uhuni mkubwa kwenye Mkataba wa Bandari, haijulikani Tanzania imesaini na nani

Inajulikana kuwa hicho kilichopewa jina la IGA, kwa upabde wa Tanzania kimesainiwa na Mbarawa, lakini kwa upande wa pili, yaani Dubai, aliyesaini hajulikani kwa jina wala cheo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja hii ipo kwaajili ya watu wenye akili timamu na walio na ukweli wa nafsi. Wewe nyamaza, kaa kimya. Hoja haikuhusu.

Huelewi hata hoja inahusu nini, unaanza kubwabwaja!
Nyie ndo mnabwabwaja.
Kutwa kucha bandari bandari.
Bandari haiwahusu, wenye bandari yao wanaendelea tu na michakato.
 
Chochote kinawezekana kwa CCM, Mkuu Bams.
CCM wana hitsoria ya mikataba mibovu, ufisadi, rushwa na kila uhalifu dhidi ya Tanzania na rasilimali za nchi yetu.

1. Richmond
2. Meremeta,
3. Escrow
4. Loliondo
5. Buzwagi
6.Ndege alizonunua hayati Magufuli
7. NB: Sekta ya Madini na Nishati zina kashfa ambazo zitajaza makataba kadhaa za mikoa. Bado kwenye Utalii, Ulinzi, Elimu, Afya na Uchumi.
........
950. Sasa hivi tuna DP world

Kwa wasiojua, ufisadi, ubadhirifu na rushwa vilianza tangu enzi za Mwalimu. Nani anakumbuka "Farasi wa Sokoine" ??
Ufisadi, ubadhirifu, wizi na rushwa vikaongezeka awamu ya pili na tatu....halafu .ya nne na tano ukaenda viwango vya ajabu! Sasa Awamu ya Sita, Mh Samia, wamepokea kijiti cha ufisadi na tayari wamevunja rekodi!
Rushwa na ufisadi nchini Tanzania ni "sera na mfumo" wa CCM.
Ukiindoa CCM madarakani utakuwa umepunguza tatizo la ufisadi na utawala mbovu kwa sehemu kubwa sana.
Tuungane kudai Katiba Mpya kwanza, halafu tuitoe CCM kwenye madaraka.

Katiba Mpya! Katiba Mpya! Katiba Mpya!
 
Rada ya Nyoka Makengeza usiisahau
 
Sisi hatupingi kwa lengo la kuikomoa Serikali! Tunapinga kusaidia nchi yetu na kodi zisiliwe na mafisadi! Kwani Rischmond ilikuwaje? Dowans! IPTL? Sasa haya mambo yatakuja kutokea tu kwa DP World nasema tena ni lazima yatakuja kutokea na nikweli Serikali ya Dubai hakuna sehemu imetia sahihi kwenye ule mkataba.
CCM wasipoacha hii tabia yao ya wizi. ufisadi na hujuma naona moto wa Mola ukiwashukia bila huruma!
 
Mmmm
Screenshot_20230725-174203_Drive.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hi ni ya ajabu sana. Yaani mhuni anaweza kujitokeza, akafanya yake ya kihuni, wakapatikana wahuni wa kumpongeza na kumsifia, na polisi wakawaandama wanaotaka kuzuia mhuni kufanya uhuni.

Maajabu ya Mkataba wa bandari, inayoitwa IGA, kati ya Tanzania na Dubai (ambayo siyo nchi):

Inajulikana kuwa hicho kilichopewa jina la IGA, kwa upabde wa Tanzania kimesainiwa na Mbarawa, lakini kwa upande wa pili, yaani Dubai, aliyesaini hajulikani kwa jina wala cheo.

Huu mkataba, una kila dalili ni mkataba wa wahuni wa hapa hapa Bongo walioamua kutumia jina la DP World, ndiyo maana walishindwa kuifanya UAE isaini, au hata mamlaka halali za jimbo la Dubai.

Walivyojikoroga:

Power of Attorney iliyosainiwa na Rais Samia inasema kuwa yeye Samia amempa mamlaka Mbarawa kusaini kwa niaba ya Tanzania na Dubai.

SWALI:
Rais Samia anampa mamlaka Mbarawa ya kusaini kwa niaba ya Dubai, yeye Rais Samia ni nani huko Dubai hadi akawe na power ya kumpa Mbarawa kusaini kwa niaba ya Dubai?

Kwa upande wa Tanzania, alisaini Mbarawa, akiandika jina lake na cheo chake. Ambapo pia inaonesha, mwanzoni alisaini sehemu ya Dubai, kisha akafuta.

Sehemu hiyo ya Dubai, ikawekwa sahihi, bila ya jina la mtu aliyesaini wala cheo chake.

SWALI:
1) Kwanini aliyesaini ameficha jina lake?
2) Kwanini hajaweka cheo chake ili ifahamike amesaini kwa mamlaka gani?

Ni kweli DP World kama kampuni ipo, lakini hii DP World tunayoiongelea hapa, kuna uwezekano mkubwa ni DP World Magumashi, ni ya waswahili wa hapo Unguja na Dar rs Salaam. Na bila shaka mtu aliyesaini upande wa Dubai, ambaye ameficha jina na cheo chake, ama ni yeye mwenyewe Mbarawa au mswahili mwingine wa hapa Dar, lakini siyo afisa wa Serikali ya jimbo la Dubai wala UAE. Kama wanabisha wataje jina la huyo afisa wa Dubai au UAE, na cheo chake. Nina uhakika hawatathubutu.
Kwa maana hiyo waliosema tumeingia na Dubai ya arabuni wamevuruga akili za watanzania
 
Je itawezekanaje DPW wakubali jina lao litumike bila wao kuhusika ? Sidhani kama hilo litawezekana !
 
Aisee,inafikirisha sana.Najua serikali ya Samia haiwezi kuwawajibisha wahuni hawa,kwa kuwa inawezekana ni rafiki wa karibu au ndugu zake.Lakini je sisi Watanzania,tuwafanyeje watu hawa,kweli tuwaache tu,huku wakitusanifu?Mimi naamini hapana,after all they are so few.Akina Dr.Slaa et.al. mobilize us for mass demonstrations across the country mpaka waondoke.Hawa hawaelewi uungwana,they understand action.
 
Wahuni wapi? Sasa kwan aliyesain hajulikani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom