Uhifadhi wa Taarifa za Manusura wa Ukatili

Dkt. Gwajima D

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
543
3,575
Wapendwa Wana JF Salaam.

Awali ya yote, NAWAPONGEZA SANA wote ambao wanaunga mkono kwa Kila mbinu katika mapambano dhidi ya UKATILI Wa KIJINSIA na kwa WATOTO. AHSANTENI SANA 🙏🏽🤝

Hata hivyo, TAFADHALI hii tusikilize hii Video hapa iliyoambatishwa, tuulize maswali na tutoe maoni. Waziri wenu wa jamii niko hapa mubashara na elimu kwa jamii.

Swali lako, maoni yako na mchango wako kwenye hoja hii inayosikika kwenye video hii, ni WA THAMANI SANA NA MUHIMU SANA kwa maendeleo na ustawi wa jamii yetu. Maendeleo na Ustawi wa Jamii yetu ni JUKUMU LETU SOTE

Karibuni.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Barikiwa Sana ndugu yangu katika Jukwaa hili la jamii. Haya nisaidie kuelimisha wengine. JamiiYetuFahariYetu#

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app

Elimu hii nitaifikisha, changamoto ninayoiona ni huko polisi. Ipo changamoto ya kufanyia kazi kwa uharaka taarifa zitakazosambaa mtandaoni kuliko hizi wanazopelekewa mezani kwa utaratibu..
 
Wapendwa Wana JF Salaam.

Awali ya yote, NAWAPONGEZA SANA wote ambao wanaunga mkono kwa Kila mbinu katika mapambano dhidi ya UKATILI Wa KIJINSIA na kwa WATOTO. AHSANTENI SANA 🙏🏽🤝

Hata hivyo, TAFADHALI hii tusikilize hii Video hapa iliyoambatishwa, tuulize maswali na tutoe maoni. Waziri wenu wa jamii niko hapa mubashara na elimu kwa jamii.

Swali lako, maoni yako na mchango wako kwenye hoja hii inayosikika kwenye video hii, ni WA THAMANI SANA NA MUHIMU SANA kwa maendeleo na ustawi wa jamii yetu. Maendeleo na Ustawi wa Jamii yetu ni JUKUMU LETU SOTE

Karibuni. View attachment 2768299

Taarifa hii ni muhimu sana,ushauri wangu ni kwamba washirikishwe mabalozi wa shina vizuri ndio wanaishi na hao watu!Nimeshuhudia sio vipigo tuu,sehemu zenye uhaba wa maji watoto wanabebeshwa mandoo makubwa ya maji tofauti na umri wao hasa sehemu zenye shida ya maji!
 
Wapendwa Wana JF Salaam.

Awali ya yote, NAWAPONGEZA SANA wote ambao wanaunga mkono kwa Kila mbinu katika mapambano dhidi ya UKATILI Wa KIJINSIA na kwa WATOTO. AHSANTENI SANA 🙏🏽🤝

Hata hivyo, TAFADHALI hii tusikilize hii Video hapa iliyoambatishwa, tuulize maswali na tutoe maoni. Waziri wenu wa jamii niko hapa mubashara na elimu kwa jamii.

Swali lako, maoni yako na mchango wako kwenye hoja hii inayosikika kwenye video hii, ni WA THAMANI SANA NA MUHIMU SANA kwa maendeleo na ustawi wa jamii yetu. Maendeleo na Ustawi wa Jamii yetu ni JUKUMU LETU SOTE

Karibuni. View attachment 2768299

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Mtani karibu sana Jf ila ombi moja tu tukiwauliza maswali, mje na majibu ya kuwafanya sisi wananchi tujione tuna viongozi tuliowachagua na sio watawala
 
Elimu hii nitaifikisha, changamoto ninayoiona ni huko polisi. Ipo changamoto ya kufanyia kazi kwa uharaka taarifa zitakazosambaa mtandaoni kuliko hizi wanazopelekewa mezani kwa utaratibu..
Siyo rahisi Sana kupata manusura huyo na mtuhumiwa kwa haraka. Na kuna hatari wasimpate kabisa au wakimpata ushahidi umeharibika. Mkumbuke mahakamani ni sheria mbalimbali zinakutana. LAKINI SI HATA IGP KATOA NAMBA ZAKE? twendeni page ya Jeshi la Polisi tutaona. Ahsante Sana kwa mchango wako na muda wako, ubarikiwe

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Mtani karibu sana Jf ila ombi moja tu tukiwauliza maswali, mje na majibu ya kuwafanya sisi wananchi tujione tuna viongozi tuliowachagua na sio watawala
Mbona mimi najipongeza mwenyewe kwa kujibu maswali ya jamii jamani Niko Kila mtandao na simu hewani kabisa na humu JF nimo mubashara jamani. Pongeza kidogo sasa kazi iendelee kisha ni follow insta, Twitter, Fb, TikTok na thread. Hunipati njoo sms 0765345777 au 0734124191. Ulimwengu wa kidigitali Fursa kwa maendeleo na ustawi wa jamii yetu

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Semina kwa wenyeviti wa shina,tutafanikiwa kwa asilimia100!
Ahsante Sana tena uko sahihi Sana. Kama kule Arusha ukienda page ya maendeleo ya jamii Instagram tumewapongea

"WAZIRI DKT. GWAJIMA APONGEZA KIJIJI CHA OLEVULUS KUBEBA AJENDA YA MAADILI

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameupongeza uongozi wa kijiji cha Olevulus, Kata ya Kimnya, Wilaya ya Arumeru, mkoa wa Arusha kwa kumiliki ajenda ya kupambana na mmomonyoko wa maadili na kuunda sheria ndogo za jamii kudhibiti janga hilo.

Waziri Dkt. Gwajima ametoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa 'instagram' Septemba 30, 2023 baaday ya video fupi iliyosambaa ikionesha mtendaji wa kata hiyo Joshua Mollel pamoja na Mwenyekiti wa kijiji hicho Emmanuela Nguluva wakiwasilisha sheria hizo mbele ya wananchi.

Ameahidi kuwatembelea wananchi hao ili kuwahamasisha viongozi wengine kuiga mfano kwa kubeba Ajenda ya maadili.

Video hiyo inaonesha wananchi kukerwa na tabia zinazoashira mmomonyoko wa maadili hivyo kuzifurahi sheria hizo.

Video hiyo inapatikana kwa kubofya link hii
View: https://www.instagram.com/reel/Cx0UQdbthCx/?igshid=M2MyMzgzODVlNw==

MWISHO"

Karibu ushuhudie jinsi jamii inaanza hatua za mabadiliko yenyewe tu. Nitaleta video baadae. SASA NI KUWASAIDIA NA KUWAONGOZA TU MAANA WAMESHAAMKA KWA SAFARI

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Mbona mimi najipongeza mwenyewe kwa kujibu maswali ya jamii jamani Niko Kila mtandao na simu hewani kabisa na humu JF nimo mubashara jamani. Pongeza kidogo sasa kazi iendelee kisha ni follow insta, Twitter, Fb, TikTok na thread. Hunipati njoo sms 0765345777 au 0734124191. Ulimwengu wa kidigitali Fursa kwa maendeleo na ustawi wa jamii yetu

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Ahsante Mtani
 
Ahsante Sana tena uko sahihi Sana. Kama kule Arusha ukienda page ya maendeleo ya jamii Instagram tumewapongea

"WAZIRI DKT. GWAJIMA APONGEZA KIJIJI CHA OLEVULUS KUBEBA AJENDA YA MAADILI

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameupongeza uongozi wa kijiji cha Olevulus, Kata ya Kimnya, Wilaya ya Arumeru, mkoa wa Arusha kwa kumiliki ajenda ya kupambana na mmomonyoko wa maadili na kuunda sheria ndogo za jamii kudhibiti janga hilo.

Waziri Dkt. Gwajima ametoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa 'instagram' Septemba 30, 2023 baaday ya video fupi iliyosambaa ikionesha mtendaji wa kata hiyo Joshua Mollel pamoja na Mwenyekiti wa kijiji hicho Emmanuela Nguluva wakiwasilisha sheria hizo mbele ya wananchi.

Ameahidi kuwatembelea wananchi hao ili kuwahamasisha viongozi wengine kuiga mfano kwa kubeba Ajenda ya maadili.

Video hiyo inaonesha wananchi kukerwa na tabia zinazoashira mmomonyoko wa maadili hivyo kuzifurahi sheria hizo.

Video hiyo inapatikana kwa kubofya link hii
View: https://www.instagram.com/reel/Cx0UQdbthCx/?igshid=M2MyMzgzODVlNw==

MWISHO"

Karibu ushuhudie jinsi jamii inaanza hatua za mabadiliko yenyewe tu. Nitaleta video baadae. SASA NI KUWASAIDIA NA KUWAONGOZA TU MAANA WAMESHAAMKA KWA SAFARI

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app

Hongera na Mungu akusimamie kazi isonge mbele!
 
Wapendwa Wana JF Salaam.

Awali ya yote, NAWAPONGEZA SANA wote ambao wanaunga mkono kwa Kila mbinu katika mapambano dhidi ya UKATILI Wa KIJINSIA na kwa WATOTO. AHSANTENI SANA

Hata hivyo, TAFADHALI hii tusikilize hii Video hapa iliyoambatishwa, tuulize maswali na tutoe maoni. Waziri wenu wa jamii niko hapa mubashara na elimu kwa jamii.

Swali lako, maoni yako na mchango wako kwenye hoja hii inayosikika kwenye video hii, ni WA THAMANI SANA NA MUHIMU SANA kwa maendeleo na ustawi wa jamii yetu. Maendeleo na Ustawi wa Jamii yetu ni JUKUMU LETU SOTE

Karibuni. View attachment 2768299

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Dr Gwajima hivi zile enzi za Jiwe, during COVID-19, ulikuwa Una Maanisha kweli kuwa zile Kachumbari zinatibu Covid-19?
 
[/QUOTEha ha ha! Alikuwa analinda kibarua huyu MD.

Ukiwa ndani ya V8 huwezi elewa mpaka wakilichukua akili ndipo inarudi.
 
Ni jukumu la kila mwananchi kupinga ukatili. Hongera mkuu kwa jitihada zako.
 
Back
Top Bottom