Uhamisho wa kubadilishana.

Joseph Isaack

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
450
89
Ni Mwalimu idara ya elimu secondary nipo katika jiji la Mwanza manispaa ya Ilemela. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka manispaa yoyote ya mko wa Dsm au manispaa ya Kibaha. Kwa aliye tayari ani-PM.
 
Amayetaka kuja mbulu-manyara kutoka kilimanjaro,arusha au dar nibipu 0764013908
 
Amayetaka kuja mbulu-manyara kutoka kilimanjaro,arusha au dar nibipu 0764013908.niko idara ya elimu msingi
 
Anayetaka kuhama kutoka DAR ES SALAAM kwenda Kibaha-Pwani. Mie niko Kibaha nataka kurudi Kinondoni-Dar. Ni pm au kwa namba 0713 335094
 
YAani raha zote hizi za dar mtu akubespmaje huko bigwa morogoro afu wewe uje dar..hahaaaa
 
mwl wa sekondari anayetaka kuja dodoma manispaa kutoka moro,kibaha au dar,...na anayetaka kuja singida mjini kutoka dar.. ANI"PM TAFADHALI
 
anayetaka kuja mbulu kutoka arusha,kilimanjaro,dar,tanga,dodoma anibipu 0764013908 Mwl.idara ya msingi.
 
Anaye taka kutoka dar kuja muheza tanga kwa idara ya sekondari, nicheki kwa 0718547517
 
Anae taka kuja Manyoni akitokea Geita au Sengerema k wa idara ya sekondari ani text 0753868912
 
Anayetaka kuja bunda mkoa wa Mara kutokea Arusha,longido.morogoro.mwanza au kilimanjaro idara ya msingi.2wasiliane 0787181565
 
Back
Top Bottom