Uhamiaji koplo na kontebo.

Kazakuku

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
354
110
Habari zenu wakubwa!ndugu zangu wana JF kuna rafiki angu anauliza kwa yeyote yule aliye na taalifa juu ya nafasi za kazi zililzoombwa imefikia wapo na je washaweka shortlist..?
 
Nna full data ila kwa vile ww siyo mhusika basi!! ningeapload hata majina yanayotegemewa kuchujwa!
 
Nafikiri dead line ilikua jana Tarehe 21, hivyo ni mapema sana kujua short listed wakati huu.
 
Habari zenu wakubwa!ndugu zangu wana JF kuna rafiki angu anauliza kwa yeyote yule aliye na taalifa juu ya nafasi za kazi zililzoombwa imefikia wapo na je washaweka shortlist..?
acha pressure kijana deadline yenyewe ilikua juzi tarehe 21 kwa uwezo wako wa kufikiri unaona watakua wameshachuja hayo majina?hapa subiri mpaka march mwishoni au april na fuatilia sana majira.mtanzania au mwananchi ndio hupenda kutangaza huko majina
 
  • Thanks
Reactions: viz
Habari zenu wakubwa!ndugu zangu wana JF kuna rafiki angu anauliza kwa yeyote yule aliye na taalifa juu ya nafasi za kazi zililzoombwa imefikia wapo na je washaweka shortlist..?

Huyo rafiki yako ana ndugu utumishi pale makao makuu uhamiaji?kama hana atasubiri sana
 
mbona kihelehele ivyo! kwa hyo yeye kashindwa kuuliza mpaka wewe umuulizie? au unazuga we ndo muhusika!
 
Mbona mnamparamia mwenzenu jaman, kauliza kwa uzuri, mambo ya kiherehere, mara kama hana ndugu asitegemee, kila mtu na bahati yake, anaweza akaomba hata hana ndugu na Mungu akamsaidia akapata so kila mtu na bahati yake!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kweli kabisa, halafu hii tabia ya kuponda au kuwakatisha tamaa watu wanaotafuta kazi eti kwakua wewe una kazi sio nzuri. Wawaache watu wapambane kupata kazi maana hauwezi kuitwa kazini bila kuomba.
 
Goood!
 
Tena mtu kama huyu mropokaji hovyo hana hata kazi ya maana, kwahiyo anatamani hata hii oportunity yakuapply angeipata lakini olaaa, tena huyu hata cheti cha form 4 hana, so msijali watu wangu msibabaishwe na wasiojitambua na hata future hawana!! Wishing you all the best of luck na Mungu akiwa upande wenu hakuna atakae kuwa juu yenu!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: viz
Tena mtu kama huyu mropokaji hovyo hana hata kazi ya maana, kwahiyo anatamani hata hii oportunity yakuapply angeipata lakini olaaa, tena huyu hata cheti cha form 4 hana, so msijali watu wangu msibabaishwe na wasiojitambua na hata future hawana!! Wishing you all the best of luck na Mungu akiwa upande wenu hakuna atakae kuwa juu yenu!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Goooooooood!hapa umenikuna!
 
Back
Top Bottom