endagulda
Member
- Nov 21, 2014
- 20
- 34
Habari zenu wadau,
Kuna ugonjwa umeanza kuenea kwa kasi ambapo ukienda hospital madaktari wengi wanadai kutouelewa huu ugonjwa hasa hospitali za mikoani,
Dalili zake zinafanya upande mmoja wa uso kupinda au mdomo kwenda upande.
Kuna rafiki yangu anaishi Botswana nilimweleza dalili zake akasema unaitwa BELL'S PALSY wataalamu wa afya tunaomba ufafanuzi na matibabu yake maana huku kijijini watu wanatafuta mchawi nani.

Ugonjwa wa kupinda uso kiharusi cha mdomo aka kwa kiingereza wanauita jina hili (Bell's Pals)
View attachment 357193
View attachment 357194
View attachment 357195