Ugonjwa gani huu

Kisiwa

Senior Member
Oct 18, 2010
125
19
Ndugu zangu
Mara nyingi hunitokea ghafla nagusa/napiga mkono vitu vikiwa mezani. Mfano naweza kuletewa chai lakini ghafla kunakuwa kama mtu kasukuma mkono wangu na kumwaga chai. Vivyo hivyo hutokea nikiwa na kinywaji mezani kama soda na kadhalika
Yaani inakuwa kama kuna mtu kagusa mkono wa kufanya vitu kuparanganyika

Msaada tafadhali
 
Muone neurologist anaweza kukupa dawa. Kawaida macho yakiona kitu yanapeleka message kwenye ubongo unaikufahamisha kitu kilichoonwa na macho. Kama ni chakula utapata tena massage ya kuchukua na kuweka mdomoni. Haya yote hutokea katika muda wa sekunde.
Kuna massage ambayo ubongo wako unashidwa kuitafsiri.
 
shukran wa nyumban
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom