, utakuwa umewachanganya Waarusha na Wameru!, EL ni Mmeru!.Hizi kabila mbili huwa zinanichanganya sana. Maana hata Mh. Lowasa wanasema ni Muarusha ila yeye anajiita Mmasai.
Samahani nina mashaka na usahihi wa habari hii!
- Ungesema Wamasai wamevamia eneo na Waarusha na kuwafurusha baru, hapo labda ndio ningekuelewa!.
- Tangu lini Waarusha wana jeuri ya kupigana?.
- Kwa nguvu zipi walizonazo Waarusha?. Kwa msiowajuu Waarusha, wana koo nne tuu, Laizer, Mollel, Kivuyo na Lukumay!.
- Kwa silaha gani wanazotumia kuwakabili Wamasai?.
- Kwa utamaduni gani wa mapambano, walionao hao Waarusha?.
- Tangu lini Waarusha wakapigana kugombania Aridhi huku kila siku wakiitoa Sadaka?.
- Kama ni Wamasai na ni kweli wameamua kufanya kweli, FFU gani watathubutu kutia pua?!.
- Kwa msiofahamu, miaka ya nyuma, Ijumaa moja, Viongozi 4 wa kabila la Wamasai waliwahi kuwaamrisha Morani wao, kuchoma ofisi ya CCM na nyumba ya Mwenyekiti wa kijiji fulani aliyewaletea za kuleta!.
- Serikali iliwakamata hao viongozi Wanne wa Kimasai na kuwashikilia Polisi Central ya pale Arusha.
- Jumatatu asubuhi, jiji la Arusha lilifurika morani wa Kimasai waliokuwa wameshapandisha mori, midomo yao myekundu kwa kunywa damu mbichi!, waliizingira ofisi ya Mkuu wa mkoa na polisi, mwakilishi wao akaitwa ndani, akagoma, wakamuamuru mkuu wa mkoa atoke nje, by then alikuwa Ole Njoolay, wakazungumza nae Kimasai kuwa wale viongozi wao wanne wanaoshikiliwa polisi, waachiwe that very moment, bila mjadala wala majadiliano yoyote, vinginevyo maroni hao, wangeigeuza mji wa Arusha dimbwi la damu within no time!. Njoolay alitii amri there and then, wale wazee waliachiwa na kuletwa pale, ndipo msafara ulitawanyika na walipofika Masaini, ngombe wengi waliuawa kikatili ili kutimiza masharti ya kutuliza ile mori ya Kimasai!.
Pasco.
Amen. Ubarikiwe Sana!.Pasco mungu akusamehe kwani hujui uandikacho
Mkuu Pasco , hadith yako inatufundisha nini?Samahani nina mashaka na usahihi wa habari hii!
- Ungesema Wamasai wamevamia eneo na Waarusha na kuwafurusha baru, hapo labda ndio ningekuelewa!.
- Tangu lini Waarusha wana jeuri ya kupigana?.
- Kwa nguvu zipi walizonazo Waarusha?. Kwa msiowajuu Waarusha, wana koo nne tuu, Laizer, Mollel, Kivuyo na Lukumay!.
- Kwa silaha gani wanazotumia kuwakabili Wamasai?.
- Kwa utamaduni gani wa mapambano, walionao hao Waarusha?.
- Tangu lini Waarusha wakapigana kugombania Aridhi huku kila siku wakiitoa Sadaka?.
- Kama ni Wamasai na ni kweli wameamua kufanya kweli, FFU gani watathubutu kutia pua?!.
- Kwa msiofahamu, miaka ya nyuma, Ijumaa moja, Viongozi 4 wa kabila la Wamasai waliwahi kuwaamrisha Morani wao, kuchoma ofisi ya CCM na nyumba ya Mwenyekiti wa kijiji fulani aliyewaletea za kuleta!.
- Serikali iliwakamata hao viongozi Wanne wa Kimasai na kuwashikilia Polisi Central ya pale Arusha.
- Jumatatu asubuhi, jiji la Arusha lilifurika morani wa Kimasai waliokuwa wameshapandisha mori, midomo yao myekundu kwa kunywa damu mbichi!, waliizingira ofisi ya Mkuu wa mkoa na polisi, mwakilishi wao akaitwa ndani, akagoma, wakamuamuru mkuu wa mkoa atoke nje, by then alikuwa Ole Njoolay, wakazungumza nae Kimasai kuwa wale viongozi wao wanne wanaoshikiliwa polisi, waachiwe that very moment, bila mjadala wala majadiliano yoyote, vinginevyo maroni hao, wangeigeuza mji wa Arusha dimbwi la damu within no time!. Njoolay alitii amri there and then, wale wazee waliachiwa na kuletwa pale, ndipo msafara ulitawanyika na walipofika Masaini, ngombe wengi waliuawa kikatili ili kutimiza masharti ya kutuliza ile mori ya Kimasai!.
Pasco.
Mkuu, KASPERSKY ANT- CCM, unapoleta habari kwa kutumia "present tense" "sasa", unategemewa una leta au continuation ya kinachoendelea, au update ya kilichoendelea!. Nilitegema ile ile jana, baada ya wengine wetu humu kuonyesha mashaka na ukweli wa habari hii, nilitegemea wewe unge update kuthibitisha tukio hili, ndio kwanza umeingia mitini!. Hivi kweli bandiko la vita ya Mmasai kwenye jiji la utalii, ni ya kusubiria two days na hizi page mbili tuu?!.Habari zinazinifikia sasahivi zinasema kuwa wamasai na waarusha wanapigana. Polisi na FFU wameshindwa kuwaamulia,mapigano bado yanaendelea mpaka sasa.
Mkuu Mkusa, hapa tunafundishwa Tanzania ni taifa la double standards!.Mkuu Pasco , hadith yako inatufundisha nini?
Habari zinazinifikia sasahivi zinasema kuwa wamasai na waarusha wanapigana kugombea eneo huko oldonyasambo, amapo ndani ya eneo hilo kuna shule wanafunzi wameshindwa kutoka kutokana na mapigano hayo.
Habari zinaendelea kusema kuwa shule hiyo ndiyo chanzo cha ugomvi huo baada ya kila upande kusema ndiyo wamiliki.
Polisi na FFU wameshindwa kuwaamulia,mapigano bado yanaendelea mpaka sasa.
Mkuu, PISTO LERO or formerHabari zinazinifikia sasahivi zinasema kuwa wamasai na waarusha wanapigana. Polisi na FFU wameshindwa kuwaamulia,mapigano bado yanaendelea mpaka sasa.
Habari zinazinifikia sasahivi zinasema kuwa wamasai na waarusha wanapigana kugombea eneo huko oldonyasambo, amapo ndani ya eneo hilo kuna shule wanafunzi wameshindwa kutoka kutokana na mapigano hayo.
Habari zinaendelea kusema kuwa shule hiyo ndiyo chanzo cha ugomvi huo baada ya kila upande kusema ndiyo wamiliki.
Polisi na FFU wameshindwa kuwaamulia,mapigano bado yanaendelea mpaka sasa.
Mkuu, PISTO LERO, aka KASPERSKY ANT- CCM, Ugomvvi Arusha kati wamasai na waarusha.Habari zinazinifikia sasahivi zinasema kuwa wamasai na waarusha wanapigana. Polisi na FFU wameshindwa kuwaamulia,mapigano bado yanaendelea mpaka sasa.
Hawa ndio Wamasai nimaowajua Mimi.Samahani nina mashaka na usahihi wa habari hii!
- Ungesema Wamasai wamevamia eneo na Waarusha na kuwafurusha baru, hapo labda ndio ningekuelewa!.
- Kuna makabila ya wapiganaji na makabila ya watulivu. Tangu lini Waarusha wana jeuri ya kupigana?.
- Kwa nguvu zipi walizonazo Waarusha hadi wapigane na Wamasai?. Kwa msiowajua Waarusha, wana koo nne tuu zilizojimega kutoka kwa Wamasai. Koo hizo ni Laizer, Mollel, Kivuyo na Lukumay!.
- Wamasaia wanatembea na silaha 24/7, Waarusha hawatembei na silaha yoyote, kama ni kweli kuna makabiliano ya Waarusha na Wamasai, then ni kwa silaha gani wanazotumia hao Waarusha kuwakabili Wamasai?.
- Kuna makabila wana utamaduni wa mapambano, Wamasai wana utamaduni huo, Waarusha wapambane na Wamasai kwa utamaduni gani wa mapambano, walionao hao Waarusha?.
- Tangu lini Waarusha wakapigana kugombania Ardhi huku kila siku ardhi yao inamegwa na nyingine wakiitoa Sadaka?.
- Kama ni Wamasai na ni kweli wameamua kufanya kweli, FFU gani watathubutu kutia pua?!.
- Kwa msiofahamu, miaka ya nyuma, Ijumaa moja, Viongozi 4 wa kabila la Wamasai waliwahi kuwaamrisha Morani wao, kuchoma ofisi ya CCM na nyumba ya Mwenyekiti wa kijiji fulani aliyewaletea za kuleta!.
- Serikali iliwakamata hao viongozi Wanne wa Kimasai na kuwashikilia Polisi Central ya pale Arusha.
- Jumatatu asubuhi, jiji la Arusha lilifurika morani wa Kimasai waliokuwa wameshapandisha mori, midomo yao myekundu kwa kunywa damu mbichi!, waliizingira ofisi ya Mkuu wa mkoa na kusambaa mpaka polisi, mwakilishi wao akaitwa ndani, akagoma, wakamuamuru Mkuu wa Mkoa wa Arusha ndio atoke nje, by then alikuwa ni Daniel Ole Njoolay, wakazungumza nae Kimasai kuwa wale viongozi wao wanne wanaoshikiliwa polisi, waachiwe that very moment, bila mjadala wala majadiliano yoyote, vinginevyo morani hao, wangeigeuza mji wa Arusha dimbwi la damu within no time!. Wakati wote huo, hao morani wanaruka ruka na sime zao wamechomoa alani!.
- Ole Njoolay kuona hivyo, ili kuepusha balaa, alitii amri there and then, wale wazee waliachiwa na kuletwa pale, ndipo msafara ulitawanyika huku wakiimba na walipofika Masaini, ngombe wengi waliuawa kikatili ili kutimiza masharti ya kutuliza ile mori ya Kimasai!.
Pasco.
Wamasai wa mjini wanajiita waarusha asee watu majina na koo zilezile lugha ile ile alafu wawe kabila tofauti?wamasai na waarusha ni makabila mawili tofauti ila wanasikilizana,soma historia zao utawaelewa.