Ugomvi mahakamani

Faty

Member
Mar 28, 2012
11
0
Je iwapo hakimu akiwa mahakamani akisoma kesi kwa ajili ya mtuhumiwa wa jambo fulani, ikatokea mtuhumiwa kumpiga hakimu. Je hapo itakuwaje?
 
Pamoja na shitaka linalomkabiri,hapo mshitakiwa atakuwa na mashitaka mengine yafuatayo;
1:Kuingilia uhuru wa mahakama(contempt of the court)
2:Assault - either criminalilly or tortiously
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom