uganda beauty girls

jamani humu kumekuwa facebook sasa!??
weka picha za maana pliz!!!
 
Lol!....unankumbusha enzi zileeeeee mie kijana, nakata mitaa ya Kmpl!
 
Hakuna anayelalamika NDEFU. Watz nimewakubali manake zile za kusoma tunalalamika NDEFU lakini kuangalia tu! kila m2 asema CUTE. Si mbaya!
 
ok ni wazuri but hawaizidi 500/-
Conquest-ukwaju chachandu au juice
 
Hizo picha ni nzuri na warembo nimewaona. Wanajamii forums jitahidini kutoa picha na sio kutuletea mapicha yatakayopelekea jamii forums yetu kufungiwa kama Ze Utamu.
 
Jamani watoto wa kibongo mpo/wapo? nakumbuka kuna wakati walikuwepo - hebu aliye nao atukumbushie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom