UGALI unaitwaje kwa Kingereza/Kimombo?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
wakuu ma great thinkers namkuje huku tafadhari mniambie kuwa chakula cha UGALI kinaitwaje kwa kimombo? zawadi itakuhusu.
 

Hahaaaaaa, hii imenikumbusha miaka ya nyuma nikuwa chuo kuna mwl mmoja ndo alikuwa ametoka majuu kuchukua master yake, na siku moja akiwa class anasema. . how do you call stiff porridge in swahili? is it Yugalaey?? Haha jamaa alikuwa na mbwembwe huyo.
 
Tusiwe Watu Wa Kukopa Maneno Tu Milele Acha Ugali Utambulike Kama Ugali Watu Wa Nje La Bara La Africa Wajue Mmalawi Akisema Nsima Anamanisha Ugali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom