Ufunuo(Tz) v/s Uamsho(Znz)

Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
115
Watanganyika wanaotokea bara na wazanzibari baadhi wanaupinga huu msala wa uamsho sasa angalia huku bara kisitokee kikundi cha ufunuo wakaanza kuchoma nyumba za wapemba maana ujue ndugu zetu zanzibar hawana raha.......mnapinga muungano alafu mnachoma makanisa......me najua wazanzibari wana history ya ustaarabu sasa watu wa bara ustaarabu ziro....
 
Back
Top Bottom