Nachukia kunyanduana na mwanamke gogo, lakini ufundi wa wife umevuka mipaka. Licha ya kuwa naenjoy Sana ila kiukweli ananipa mashaka.
Hivi inawezekana kweli mwanamke akawa fundi kitandani bila ya kuwa kicheche?
Wakati wa sebene uwa naenjoy Sana, lakini mchezo ukiisha tu akili yangu inaenda kwa yote aliyonifanyia. Kichwa changu kinakuwa na maswali mengi hasa Ni wapi kajulia maujanja Yale au nacho Ni kipaji?
Nimejaribu kumbana Sana na kumfatilia katika kila angle lakini nimeshindwa kupata ushahidi Wala dalili za Yeye kunisaliti. Kitu peke kinachonipa mashaka Ni mauwezo yake kitandani?
Nishaurini wakuu.. nafanyaje katika hili?