biggboss48
Member
- Jul 24, 2016
- 21
- 10
Add hii hapa pia.Na mimi naombeni mni add 0714553594 nipo morogoro nafugia mgolole
Niko dar
0759385679
Add hii hapa pia.Na mimi naombeni mni add 0714553594 nipo morogoro nafugia mgolole
Pls naomba uniadd kwa namba 0753044414Du yaani kati ya watu waliowaza mbali kabla ya kufuga ni wewe.Ni kweli kabisa changamoto kubwa ya ufugaji nguruwe ni kwenye chakula,kinauzwa bei mbaya na hasa pumba za mahindi ambazo kwetu sisi ndiyo lishe kuu kwa nguruwe.
Kwa Maana hiyo ukiweza kupata hizo Mashine,utafuga kirahisi sana,na mafanikio utayaona haraka sana.
Ukiwa interested kuna kundi la whatsup la wafuga nguruwe na Mimi nimo humo,unaweza jiunga ili kupata morali ya kuendelea na ndoto yako
Ukiungwa na Mimi niunganisheHabarini wakuu,naomba nami niwe kwenye hili group 0765651760