Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

watu chuo kikuu wanalia na ajira kumbe ni kukosa mtazamo na uthubutu. wengi wakihitimu ni waoga mno. pia huwa hawana despline ya fedha kipindi wawapo chuoni. hakuna ajira nzuri kama kujiajiri.

Kweli mkuu!!!,wewe umekuwa model ya vijana.
 
kwamba nguruwe mmoja anakuzalishia 2,000,000/- hadi 2,500,000/-? hongera kwa kujiajiri boss
 
Nadiriki kusema hakuna Nguruwe mwenye kilo 250 ya nyama labda akiwa hai. Anayeweza knionyesha nguruwe huyo Dar au Pwani mimi nitampa laki tano Kesh kwa kuona tu. Uzi huu umenifanya nitembelee wafugaji wakubwa wa nguruwe( Visiga Seminary) pamoja na uzoefu wao mkubwa na nguruwe wakubwa walionao hakuna anayeweza kufikisha kilo hizo za nyama labda akiwa hai.
 
rastahafulila.kweli zito kabwe ana kazi,nguruwe 30 tena wako ndani ya zizi moja unajiita tajiri maajabu.hivi akitokea mwizi akawaiba usiku wa leo utasemaje kuwa umekuwa masikini ghafla.think big

Mkuu huo uwezo wa huyu jamaa katika kufikiri ndo utajiri wala si hayo maguruwe,wakiiba anaweka mengine.Faida ya Elimu ni jinsi utakavyoweza kuitumia kupambana na mazingira huyu bwana ni mfano wa kuigwa na jamii.
 
lakini unajua ni kwa mda gani?

Si umesema mwenyewe kila siku unachinja nguruwe mmoja na kla nguruwe ana klo kati ya 200-250, na kila kilo unauza 10,000?

Kwanza ni kigoma ya hehe homguza ingurubhe kwi bhihumbi chumi?
 
rastahafulila.kweli zito kabwe ana kazi,nguruwe 30 tena wako ndani ya zizi moja unajiita tajiri maajabu.hivi akitokea mwizi akawaiba usiku wa leo utasemaje kuwa umekuwa masikini ghafla.think big

Discouragement is the devil's sound
 
Una Nguruwe mia 30 then unasema unachinja Nguruwe mmoja kila siku...? Uongo kabisa. Alafu unasema una uwezo wa kuuza kilo 200 kwa siku ya nyama iliyochomwa? Uongo mkubwa sana kwa kigoma. Ni vema kuwa mkweli ili tuelimishane badala ya kudanganyana kama watoto hapa.

Amini au usiamini nafikiri ukweli anao mwenyewe
 
watu chuo kikuu wanalia na ajira kumbe ni kukosa mtazamo na uthubutu. wengi wakihitimu ni waoga mno. pia huwa hawana despline ya fedha kipindi wawapo chuoni. hakuna ajira nzuri kama kujiajiri.
Safi sana mkuu
 
Hongera, ila michango ya wadau usiipuuze la maana lifanyie kazi utafanikiwa zaidi.ila kata bima hata wakifa kwa ugonjwa au kuibiwa utalipwa fidia.usiamini mambo ya weka dawa ya kuzuia wezi
 
Kwa maelezo yako inaonyesha una mpango wa kufuga...lakini huna nguruwe. BTW hongera kwa maono uliyo nayo, ila yabadilishe yawe kweli.
nashukuru kwa kuliona hili pia, mkuu wewe kichwa sana huwezi danganywa kiurahisi unafaa uwe mpelelezi kama mimi
 
Fisadikuu;
Usikuwe Tomaso wa kila kitu mkuu. Mimi nimewahi kufuga nguruwe. Tena Landres, dume likakaa nami miaka 2 tu. Nikamchinja, akatoa kilo 240. Sikujui hunijui, sina haja ya kukudanganya
huyu dogo maelezo yake yana mashaka sana kwa mtu aliyepitia ujasiriali akiyatafakati, kama vp angetupia picha au video, mimi sio mbishi ila kuaminishana kirahisirahisi ni upotoshaji
 
Wakuu,

Mimi ninaishi Dar, nina eneo langu kama eka 20 hivi huko Mkuranga. Sasa nimedhamiria mwaka huu kuanza kufuga nguruwe, naombeni mnishauri baadhi ya mambo hapa.
1. Nina taka kujenga vyumba viwili, kimoja kwaajili ya kijana wangu wa kufanya hizo shughuli na kingine kwaajili yangu kwakuwa kila Ijumaa nitakuwa nina kwenda shamba na kurudi Dar Jumapili. Hivyo naomba kufahamu gharama za kujenga vyumba viwili kwa Mkuranga (roughly) kuanzia mwanzo mpaka iwe inafaa mtu kuishi itakuwa ni kiasi gani cha fedha? na ujenzi wa choo je itakuwa ni sh ngapi?

2. Nahitaji kujenga mabanda ishirini ya mabanzi kwa kuanzia yenye ukubwa wa mita nne kwa mita sita, je banda moja la ukubwa huo hutumia kiasi gani cha mabanzi? banzi moja jijini dar linauzwa sh ngapi? mabanda hayo nitayawekea zege, je chumba cha ukubwa wa mita nne kwa sita nitatumia sh ngapi kumwaga zege?

3. Je, gharama za kuchimba kisima cha maji ni sh ngapi? na mashine ya kuvutia maji kupeleka kwenye tank itakuwa ni sh ngapi (nataka yaka kwenye tank kwakuwa nitakuwa nikitumia auto drinker)

Ikifika 2018/19 nataka niwe na nguruwe zaidi ya mia tano, soko la nguruwe ni kubwa sana wakuu.

Karibuni kwa mawazo yenu
 
Back
Top Bottom