Ufoo Saro Atoka Hospitali, Atoa Shukrani Kwa Mungu na Awashukuru Wote!.

Anashukuru Wote kwa Upuuzi Mkubwa Alioufanya? Nyie Vipi badala Ya Kumchana Live Mnabaki Kumpa Maneno Ya Moyo ili Iweje? ACHENI UNAFIKI WENU HAYAWANI WAKUBWA! Hivi Unadhani Marehemu hakuwa na Malengo Yake Ya Kimaisha ambayo Yalikatishwa na UMACHAME WA Huyo UFOO Wenu na Mama Yake? Na Dada Zangu Mkiendelea na Tabia Zenu za Kuchuna na Kuwatumia Wanaume Kwa Maslahi Yenu na Kuwasaliti Yatawakuta Sana Haya Ya Akina UFOO Na Kikubwa Tulieni na Ndoa Zenu au na Wapenzi Wenu na Muwe Wavumilivu na Acheni Tamaa za Kijinga na za Kipumbavu na Epukeni Hayo Maisha Ya Maigizo Sisi Wanaume Tuna Hustle kwa Njia Nyingi hapa Mjini hivyo Tukiwapenda Hebu Nanyi basi Rudisheni Upendo, Uaminifu na Heshima Kwetu. Hongera Kwa Kutoka Hospitalini ila Ningefurahi KAMA UNGEANZISHA KITENGO au NGO MAALUM TU KWA KUTOA USHAURI WA BURE KWA WASICHANA, MABINTI, WANAWAKE na AKINA MAMA Wenye Tabia za Kisanii Kama ULIZOKUWA Nazo hadi Ukakoswakoswa Kwenda Kumwona Sir GOD. Ukome na Nyie Wengine MJIFUNZE na REJEENI ULE USEMI USEMAO " UKIMWONA MWENZIO ANANYOLEWA NA WEWE TIA MAJI".
Tungekuwa na viongozi wanaotoa makavu namna hii fasta Tungekuwa mbali sana
 
ngoja nikae kimya, maana mdomo wangu umejaa maneno machafu kwake yeye ....
 
Kwa kweli unaonekanekana ufooo ni mtoa zaka sana unajua hata kama hela za wizi ama unamsaliti mtu ukizitoa kanisani kwa kazi ya mungu anasamehee na kuzisafisha zote ndio maana dada akaokolewa na zaka za mashikaji ingawa alikuwa anatoa yeye lakini mungu alimheshimu ndio maana mpaka kesho soma habari duniani nani

1...nani aliewahi kujiua akajipiga kidevuni na baada ya hapo akaonekana na risasi ubongoni
2.hata freemasson awawezi kama haya

ndipo nakumbuka ule wimbo ni kwaneema kwa reheema ni kwa neema tu
 
Nini kinakuzuia kusema ZITO KABWE? Eti BWEKA TOZI.

imebaki kusema Zitto anatafuna mtoto wa Bibi yako alieolewa na Baba Yako, Isije ikawa Wachaga walimtuma Huyo Mpalestina ili amdhuru Zitto maana hawa jamaa ni Binadam kwa kuwa tunafanana nao Umbo tu!
 
Hili pia nilitamani kumuuliza, ila kumuuliza mhanga swali kama hili ni kukosa utu, infact nilitamani hata kuuliza suicide ya risasi mbili!.
Vitu vingine inakubidi unapotezea tuu!.
Pasco

Perfect, huwezi kumuuliza swali kama hilo. Hilo ni la mahakama, hao wana nguvu ya kuuliza bila hofu. Kwa huku mitaani, utaonekana kukosa utu kama ulivyosema. Pasco, wanasemaga kuwa wachaga wanatafuta hela sana na wanajivunia hilo. Lakini mimi naamini kuwa makabila yaliyo mengi yanajua kutafuta hela na yanajua maana ya hela. Ila hawako tayari kuweka kando utu kutafuta hela. Just imagine, mimi kesi nyingi za kuwashitaki Wazungu kuwa wamevunja uchumba nazikia kwa wachaga wakishitakiana na wazungu!!!! Lakini kwa wachumba wa kiafrika kesi kama hizo huwa hazipo! Money money money toka kwa wazungu!
 
Chuakacha, hili linaukweli!, hata mimi mwanzo nilioa huko, nikitafakari money pressure toka kwa wife, nakumbuka, tulihamia UK, akang'ang'ania tusirudi bongo for maney making!. Niligoma na kumlazimisha tukarudi bongo!. Baada ya hapo nikapata US Trip, tukaenda huko akatafuta sababu za kubaki, zile zile "making more money!". Nilirudi bongo na kulea familia ya our two kids as a single parent father, kila tulipomtembelea, yes she was making money but lives misarable life!, no love, no family but just money!. I gave her the last option achague between family and money, she choose the letter! and that was it!.

Ila kwa Ofoo, to be honest, I don't believe haya yanayosemwa juu yake kwa sababu namfahamu fika!. She is a lady of high integrity!.
Pasco.
 
Kaka hivi ungeulizwa integrity ya mkeo siku mnatoka madhabahuni ungesemaje?????!!!!
Endelea ku bet but please dont empty your pockets!!!!!!
 
Chuakacha, hili linaukweli!, hata mimi mwanzo nilioa huko, nikitafakari money pressure toka kwa wife, nakumbuka, tulihamia UK, akang'ang'ania tusirudi bongo for maney making!. Niligoma na kumlazimisha tukarudi bongo!. Baada ya hapo nikapata US Trip, tukaenda huko akatafuta sababu za kubaki, zile zile "making more money!". Nilirudi bongo na kulea familia ya our two kids as a single parent father, kila tulipomtembelea, yes she was making money but lives misarable life!, no love, no family but just money!. I gave her the last option achague between family and money, she choose the letter! and that was it!.

Ila kwa Ofoo, to be honest, I don't believe haya yanayosemwa juu yake kwa sababu namfahamu fika!. She is a lady of high integrity!.
Pasco.

Nashukuru sana . Pia pole na hayo ya former wife. Ni mtihani katika maisha! Hopefully, pamoja na kuwa sikujui, you managed to get through safely maana nakuona kama vile we ni mtu wa busara na msomi mzuri. Nimekuwa nikiona post zako humu JF.
Anyway, tunampa pole sana na Mungu ampe nguvu.
Nice to hear from you again.
 
sawa,lakini tujenge tabia ya binadamu kuwa wazi kwa maana ya pumba kuita pumba na mchele kuita mchele! tusipindishe kwa madai ya kuudhi upande!

taarifa zilizopo ni kwamba huyo dada alimfanyia ndiyo sivyo huyo mushi! hivyo ni lazima tumlaumu Ufo kwa tetesi hizo hadi atakapoweka wazi ukweli wa mambo! Daima dhuluma ni kitu kibaya sana.Dhuluma inapoteza watu 2 muhimu kwako.Labda kama alikwenda kanisani Kutubu kwanza kabla ya kushukuru kwa kunusurika na kifo
 
Mwandishi wa kituo cha Luninga cha ITV Ufoo Saro amefanya ibada ya kumshukuru Mungu kumuepusha na kifa.Ibada hiyo ulifanyika ktk kanisa la KKKT-Usharika wa Kibamba nje kidogo ya Jiji la Dsma.
Katika ibada hiyo Ufoo alisoma somo maalumu kama shukrani kwa Mungu kwa wema na upendo wake hasa ktk kipindi hiki kigumu ambacho amepitia,kumshukuru Mungu kwa afya na kumjalia kupona na kurudi vizuri
 
Na kweli yaani huyu israel mtoa roho alishamtembelea kabisa, akawa amesahau kitu mbinguni akasitisha zoezi
 
Mkuu GENTAMYCINE Wape vidonge vyao,wapuuzi sana hao,yaani hata mimi siwapendi kama nini,ndo maana cku hizi hatuoi bali ni kuwachafua tu kwani ndo wanalostahili hilo, ( ) hapo kwenye brackets nimewatukana wanawake wote wenye tabia kama za UFOS.
 
Kuna mila ambayo Ufoo ame i ignore. hata siku moja mmachame haolewi na mtu kutoka srhemu fulani uchagani. baba Ufoo alilikemea hili ndio maana hakuiva na Mushi. na Mushi kaanza kufika nyumbani kwa mama Ufoo baada ya mdingi kubuta. Hii mila ni ya siku nyingi na laana hii hsitaisha keenye vizazi vya hivi karibuni.
Mushi kabila gani yeye?
 
Back
Top Bottom