kinganola
Senior Member
- Aug 16, 2011
- 117
- 30
Hivi,mimi nauliza,hivyo vibali wanavyo tumia hao wenye makampuni ya kukamata wanyama pori hai na kuwauza nje ya nchi,nani ameviandaa?,Hao jamaa,wametumalizia wanyama wetu,nimebahatika kusikiliza mahojiano ya mwizi mwizi wa wanyama pori katika media fulani,nimesikitika sana,jamaa amekiri toka aanze hiyo kazi mwana 1997,wameiba na kasafirisha maelfu ya wanyama,poleni wata tz wenzangu,mbuni,swala,twiga,simba,p-milia,tomson,chui,dog mwitu,fisi nk,wame ibwa na kuuzwa mataifa ya nje na hasa uarabuni,jamaa kakiri wamewahi kukwapua swala kama alfu na kuwasafirishia KIA,swala wanaminyana hadi wana zaa Air Port,jamani,hii si aibu?