Ufisadi wa viwanja wilayani Arumeru

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa halmashauri mojawapo kati ya halmashauri mbili za(MERU DC) wilaya ya arumeru mkoani arusha inatarajia kuuza viwanja maeneo ya tengeru.bei ya kiwanja inatarajiwa kuwa 24000 per squear meter.wakuu hii ni bei ghali hasa ukiangalia vipato vya watanzania wa kawaida.inasemekana tayari kuna watu(vigogo) kati ya 100-150 wameshapata plot hizi kimya kimya kama ilivyotokea kwa halmashauri pacha ya wilaya hii(arusha DC).
Kama ni kweli huu ni ufisadi mpya kwa wakubwa kujisevia viwanja nchini.tukumbuke viwanja vilivyogaiwa hivi karibuni maeneo ya burka(arusha DC) viliangukia kwa vigogo Kama vile Kimey,riziwani,ruth mollel,mbunge wa arumeru magharibi n.k

nawasilisha kwa machungu!!
 
sa hivi arusha we nunua kiwanja tu kwa wenyeji hivi vilivyopimwa vina wenyewe ''vigogo'' si umecheki vya Ars vijijini na sio hivo tu hata vya Leganga ilikuwa kwa matajiri tu, afu ubaya ni kuwa wanakusanya pesa za form toka kwa wananchi afu vigogo wanapewa hata bila kujaza form, na forms zenyewe ziko kisanii mbaya. Kwa mfano ile ya Burka walikusanya over 90 million kutoka kwa wananchi afu wakutumia hizo hela kupima viwanja na kuishia kuwapa vigogo. Ila huu uonevu una mwisho
 
Back
Top Bottom