Ufisadi wa Capt. Komba wa TOT Band (CCM)

Kimsingi natofautiana sana na wanao ilaumu CCM kwa ufisadi!!!!
Hii ni kwa sababu chama kilisha jibadilisha kwenye azimio la Zanzibar pale kilipo ua azimio la arusha kuwa chama cha wafanyabiashara na matajiri badala ya chama cha wakulima na wafanyakazi!Sasa mnashangaa nini?Kazi ya mfanyabiashara ni kusaka faida tu!!!!
 
Nyie mnafikiri hilo pakacha analobeba hadi anashindwa kupumua na kugawa magari kwa videmu vidogo vidogo zinatoka wapi? Inatakiwa akamuliwe kinyesi chote
 
chichiem chiichiem ooooh chama cha mapinduzi chichiemu nambari wani
 
Sera ya chana cha mafisadi mimi sishangai kitu hapo!! wako kwenye kutekeleza sera zao

Ukimchunguza Bata huwezi kula nyama yake,huyo ni kigogo mmoja tu amechunguzwa na kugundulika na madudu hayo.KAMA CDM HAIWEZI KUIONDOA CCM KTK DOLA NI HERI JESHI LICHUKUE MAAMUZI YA MISRI NA KUFUTA CHAMA HIKI KILICHO JAA UFISADI NA UCHAFU WA BATA.
 
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA CHAMA NA WADUMU MAFISADI WOTE....CCM HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.

  • :majani7:
 
ashakufa jamani huku

simo mchanga wa pwani huooooooooooooo
 
sasa jamani hebu twende mbele turudi na nyuma , hivi mtu kama huyu tuendelee kumsalia au tufanyeje jamani ?
 
Back
Top Bottom