bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,380
- 6,853
Quote (Mwishoni mwa mwaka wa fedha 2009/2010 alihamisha kiasi cha Shilingi 1,968,475,931 mali ya Wizara ya Afya kwenda National Institute for Medical Research (NIMR) bila kibali cha hazina kwa matumizi yasiyojulikana. Fedha hizi zilikuja kuhojiwa na CAG katika ripoti yake ya serikali kuu ya mwaka 2009/2010) Quote
If this is true then: Dr Mwele Malecela anauhusiano upi na huyu mama? Kama sijakosea yeye ndio bosi wa NIRM; je haka kamchezo anakajua? Ukiangalia vizuri kuna chain ya watu fulani fulani inabidi wawajibike na huyu mama Nyoni if the accusations are true.
Dr Malecela anapeleka request ya fedha kwa Katibu Mkuu wa Wizara. Wapi PS anatoa hizo fedha huo sio wajibu wake alimradi zimetoka na kupita kweny account halali za Serikali.
Ulisikia wapi mfanyakazi anamuuliza bosi wake fedha hii umetoa wapi? Huo ni wajibu wa wahasibu siyo yeye.