Ufisadi Vodacom Foundation

Engineermsuya

Member
May 23, 2011
32
7
Vodacom-Logo.jpg

Kuna taarifa kuwa kuna ufisadi wa kutisha ambao unaendalea at the heart of Vodacom foundation Tanzania juu ya nani na sababu za watu kupewa au kusaidiwa miradi chini ya mpango wa CSR. In short hata Mwanakijii alipolalamika juu ya Vodacom Foundation humu sometimes back na watu waka muignore kumbe kulikuwa na ukweli ndani....na uzuri Mwanakijiji alikuwa anazo mpaka e-mail exchange kati yake na wakubwa wa Vodacom Foundation. Sasa taarifa za ndani zinasema kuwa vvikundi vinavyonufaika ni vile vya maswahiba au watu wa karibu wa hao mabosi wa hii foundation.

Sasa kama kweli then kutakuwa na hatari kubwa ya hawa jamaa wa Voda kuonekana wabaya mbele ya jamii a
 
Mkuu,
Ungeweka ushahidi walau kidogo, isije kuwa unapika majungu kwa sababu zako binafsi.
La ungepeleka kwenye jukwaa lingine siyo hapa.
 
Mkuu,
Ungeweka ushahidi walau kidogo, isije kuwa unapika majungu kwa sababu zako binafsi.
La ungepeleka kwenye jukwaa lingine siyo hapa.

Ushahidi kwani hapa mahakamani?

Kwa kweli Tanzania kuna vikundi na watu wengi sana sana wana shida na wanahitaji msaada. Si rahisi kwa hii foundation moja kuweza kumaliza shida za wananchi wote.

Kumbukeni KILA KWENYE RIZK BASI LAZIMA KUWE NA FITNA.
 
..unaenda kwa mtu au kikundi unawaambia tutatoa msaada wa milioni hamsini lkn siwapi hamsini ntawapa 30 ishirini zangu km hamkubali basi bahati mbaya! maombi ni mengi mnoo! nani atakataa?? kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake. kuna dada mmoja alikuwa analalamika kwamba watu wanaiba sana pale voda. eti jamaa wameunda vijikampuni vyao uchwara vya ku supply so desktop inauzwa kilo tatu na nusu au nne pale invoice inasoma 2m. soo hii nchi wizi kila sehemu si vodacom tuu
 
Kwanza mimi huwa sielewi mantiki ya udhamini wa makampuni haya. Zile cause za kunufaisha huwa wanazinyima pesa kwa kujifanya wamepeleka pesa kwenye miradi mingine. Kuna kundi la madaktari wali organize screening ya kisukari kwa baadhi ya mikoa. Budget yao ilikuwa ndogo sana na event plan waliandika vizuri. Hawajapata jibu jema mpaka leo zaidi ya ahadi wakaombe siku nyingine. Wanatoa wanapofaidi.
 
Back
Top Bottom