Ufisadi ujenzi soko la mwanjelwa jijini mbeyaa

sunguruma

Member
Sep 14, 2012
34
6
Habari wana jf naomba niwaletee kidogo huu ufisadi kwenye ujenzi soko la mwanjelwa jijini mbeya

kwa wale wanao kumbuka kabla soko la mwanjelwa kujengwa kuna soko liliungua na kuteketea kwa moto ambalo sasa halmashauri ya jiji ikaamua kujenga soko jipya.

Katika ujenzi huo jiji likaamua kukopa fedha kutoka crdb bank kama 15 bilions kwa ajili ya ujenzi wa soko hilo ambao ulitegemewa kukamilika may 2012 lakini hadi sasa bado na kampuni iliyopewa ujenzi huo ni jmc(kama sikosei) ni wale walio jenga eac arusha.

Hao jamaa waliopewa ujenzi wa huo mradi wamepewa kwa rushwaa kubwa na kuna mambo ya tender yamelukwa na inavyo oneshwa kuna wakubwa kwenye huo mradi na hiyo kampuni iliyopewa zabuni hiyo licha ya kampuni hiyo kupewa lakini mradi umejengwa chini ya kiwango tena sana yaani ni bonge la gesi.

Kwenye huo mradi jiji linatakiwa kulipa crdb zaidi ya 300milions hii kama principal+interest kila mwezi kutokana na mkataba wa ujenzi ulikubaliana kuisha may 2012 baada ya hapo wafanya biashara kupanga na pato kutumika kulipa deni sasa hadi sasa mradi haujakamilika na jiji inamidi kulipa hiyo amountkila mwezi.

Mkandarasi wa mradi amekimbia na mradi umesimama na jiji hawana cha kufanya kwa huyo bwana coz anakula na wakubwa na amechukua amount nyingi kiasi kwamba hela iliyo baki huwezi re-tender hiyo project kutokana na certificate zilizo chukuliwa ni nyingi kuliko zilizo bakia.

Kutokana na hii project jiji linashindwa hata kuzoa taka kutokana account kuwa inalimwa na crdb kila mwezi na hali ya jiji kipesa ni mbaya.

maswali yangu kwa sugu kama mbunge wa mbeya

1. Sugu uko kwenye vikao vya tender ilikuwaje ukaruhusu hiyo kampuni wakati mlijua kuwa niwasaanii na wamepita kwa njia ya panya
2. Nathani uko kwenye kamati ya ujenzi ya jiji ilikuwaje hiyo kampuni kujenga chini ya kiwango na hadi sasa kukimbia bila kumalizia ujenzi on time na kufanya jiji kuingia kwenye hasara kubwa kutokana na mkopo wa crdb.
3. Na ilikuwaje uendelee kumwacha mkurugenzi aendeleee ku issue certificate wakati ujenzi uko chini ya kiwango kama mwakilishi wa wananchi.

Huo ujenzi wa hilo soko ni bomu kwa jiji la mbeya take action pleaseeeeee ni hayo tuuuuuuuuu
 
Sugu hakuwa mbunge wakati soko linaanza kujengwa usimgombanishe jose na wananchi wake

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Habari wana jf naomba niwaletee kidogo huu ufisadi kwenye ujenzi soko la mwanjelwa jijini mbeya kwa wale wanao kumbuka kabla soko la Mwanjelwa kujengwa kuna soko liliungua na kuteketea kwa moto ambalo sasa halmashauri ya jiji ikaamua kujenga soko jipya. Katika ujenzi huo jiji likaamua kukopa fedha kutoka CRDB bank kama 15 bilions kwa ajili ya ujenzi wa soko hilo ambao ulitegemewa kukamilika may 2012 lakini hadi sasa bado na kampuni iliyopewa ujenzi huo ni JMC (kama sikosei) ni wale walio jenga EAC Arusha.

Hao jamaa waliopewa ujenzi wa huo mradi wamepewa kwa rushwa kubwa na kuna mambo ya tender yamelukwa na inavyo oneshwa kuna wakubwa kwenye huo mradi na hiyo kampuni iliyopewa zabuni hiyo licha ya kampuni hiyo kupewa lakini mradi umejengwa chini ya kiwango tena sana yaani ni bonge la gesi.

Kwenye huo mradi jiji linatakiwa kulipa CRDB zaidi ya 300milions hii kama principal+interest kila mwezi kutokana na mkataba wa ujenzi ulikubaliana kuisha may 2012 baada ya hapo wafanya biashara kupanga na pato kutumika kulipa deni sasa hadi sasa mradi haujakamilika na jiji inamidi kulipa hiyo amountkila mwezi.

Mkandarasi wa mradi amekimbia na mradi umesimama na jiji hawana cha kufanya kwa huyo bwana coz anakula na wakubwa na amechukua amount nyingi kiasi kwamba hela iliyo baki huwezi re-tender hiyo project kutokana na certificate zilizo chukuliwa ni nyingi kuliko zilizo bakia. Kutokana na hii project jiji linashindwa hata kuzoa taka kutokana account kuwa inalimwa na CRDB kila mwezi na hali ya jiji kipesa ni mbaya.

Maswali yangu kwa Sugu kama mbunge wa Mbeya

1. Sugu uko kwenye vikao vya tender ilikuwaje ukaruhusu hiyo kampuni wakati mlijua kuwa niwasaanii na wamepita kwa njia ya panya

2. Nathani uko kwenye kamati ya ujenzi ya jiji ilikuwaje hiyo kampuni kujenga chini ya kiwango na hadi sasa kukimbia bila kumalizia ujenzi on time na kufanya jiji kuingia kwenye hasara kubwa kutokana na mkopo wa crdb.

3. Na ilikuwaje uendelee kumwacha mkurugenzi aendeleee ku issue certificate wakati ujenzi uko chini ya kiwango kama mwakilishi wa wananchi. Huo ujenzi wa hilo soko ni bomu kwa jiji la mbeya take action please,
Ni hayo tuuuuuuuuu
 
dah watu wa mbeya serikali inawasahau sana soko bomu uwanja miaka kumi haujaisha anzishen mbeya republic
 
Hivi Sugu alikuwepo wakati wa tender ya hilo soko?

Nadhani ujenzi wake ulianza hata kabla ya Sugu hajapata ubunge
 
Back
Top Bottom