Ufisadi training college

Acha Dhambi

Senior Member
Oct 19, 2010
145
41
Inatangaza kozi zifuatazo; 1.wizi wa kura 2.utumiaji wa vyeti feki 3.kulipa mishahara hewa 4.kuanzisha Makampuni hewa 5.kuiba misaada ya waathirika Wa UKIMWI. Chuo kitawapeleka field EPA, BOT, TRA na badaae utaajiriwa RICHMOND au DOWANS. Chuo kimekwishatoa wahitimu kama LOWASA, KARAMAGI, MRAMBA, ROSTAM, CHENGE nk fomu zinapatikana IKULU, BOT, na OFISI ZOTE ZA CCM. Wahi sasa nafasi ni chache. Ahsante!
 
6. Kutengeneza na kusambaza ARV fake 7. Kusafirisha Mihadarati nchini China na Hong Kong.
 
Back
Top Bottom