ufisadi jengo la simba!rage live tbc1

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Jamani angalieni tbc1 kisha tujadili.Wajanja wamemzunguka mwenyekiti kabla mkataba wa mwanzo haujaisha wamesaini mwingine kwa kodi sh laki 2 kwa mwezi badala ya 1.2m, ni kama vile TICTS ilivyosaini kuhudumia containers TPA!
 
lakini hili si swala geni..aliIgundua wambura friends of simba waka muondoa ngoja tusubilie michezo nitarudi
 
kwa Tanzania na kwa mtu kama rage ambaye anaijua simba na msimbazi ndani nje hapo kuna maswali ya kujiuliza saaaana tu.!!!!!!!!!!!!!!
 
EEEEE eeeeeeehhhhhhhh hadi nyumbani utaingia huu ufisadi utatuua jamani nadhani utangazwe JANGA LA TAIFA.
 
Asiye mfahamu Rage ataona kweli lakini huyu jamaa ni hodari mno wa kupinda mambo.
1. Alituchukua kwenye kipigo cha TP Mazembe tufikirie rufaa feki badala ya kipigo cha aibu, akafanikiwa.
2. Timu imefungwa na Yanga tokea aingie madarakani, kafanikiwa kuwanyamazisha wanasimba wasifikirie aibu hii.
3. Ubingwa wametemeshwa msimu huu, nala kafanikiwa wasilijadihi hili.
Hivo kwa hayo hapo juu bwana huyu anajitahidi mno kuzusha mambo yatakayo wafanya wanasimba wasahau footiboli na kufikilia siasa zake. Hapo simba kwa mwendo huu hakuna maendeleo kamwe. Mwenye macho haambiwi tazama jamani.
 
hivi maendeleo ya simba yatapatika kwa kuifunga yanga, tuliwafunga zaidi ya miaka 7..tulifaidika na nini?, na kwambia kama angekuwa yule mwekiti aliepita hizo usd 100000 tusingeambulia kitu, sasa hivi angalau kuna kila dalali za ujenzi wa uwanja, kwenye jengo letu angalau unaweza kusubutu kumpeleka mtu lilisha geuka gofu yaani hata kupaka rangi na umeme zili washinda..kiongozi makini hapimwi kwa matokeo ya uwanjani tu, hiyo ni kazi ya benchi l ufundi kama timu ingekosa pesa za kambi hapo tungeml
 
Back
Top Bottom