Ufisadi huu kwa Mwigulu Nchemba unahitajika majibu zaidi ya uwajibikaji kisiasa

View attachment 229710View attachment 229711View attachment 229712View attachment 229713View attachment 229714View attachment 229715View attachment 229716View attachment 229717

Siongezi neno wala sipunguzi neno, ila eleweni Mwigulu ni mwizi na ndie alikuwa kiungo kati ya wizara na wezi wa Escrow na leo haya yametokea chini ya Naibu Waziri wa sarafu ya Tanzania Mheshimiwa Mtukufu Mwigulu Lameck Nchembe a.k.a Sokoine wa pili kama ajiitavyo.

Mtafanya propaganda zote ila kumbuka huyu ndiye mteule na mpendwa wa Watanzania walio wengi pamoja na Slaa ndio maana mlipata hati chafu
 
Attachments

  • 1424939130100.jpg
    1424939130100.jpg
    29.5 KB · Views: 117
Unaposema mteule na mpendwa wa watanzania tena walio wengi unamaanisha nini na unajua unachokizungumza na unaweza kututhibitishia huo uteuzi ulimfanya ukamuita mteule uliwafinyika lini kwa tarehe,,,, maana ktk ulimwengu wa sasa si vyema kuongea jambo pasipo uthibitisho
 
Wezi wanafahamika ni lema kuiba magari,slaa wake za watu.

Hivi huwezi kujikita kwenye issue husika kwa kukubali au kukana kwa vigezo? Kuchomeka chomeka vimaneno vya kijinga kuna kuvunjia heshima yako hata kama unatumia jina bandia. Ufanyacho ni sawa na kujisaidia haja kubwa hadharani ukiwa ugenini kwa kigezo kuwa hawakujui. Hebu ona aibu kidogo!
 
Ni wapi mwigulu anetajwa au amehusika kwenye hizi TOILET PAPER zako,Mnamsakama Mwigulu as if ndio anayekupa Ugali
View attachment 229710View attachment 229711View attachment 229712View attachment 229713View attachment 229714View attachment 229715View attachment 229716View attachment 229717

Siongezi neno wala sipunguzi neno, ila eleweni Mwigulu ni mwizi na ndie alikuwa kiungo kati ya wizara na wezi wa Escrow na leo haya yametokea chini ya Naibu Waziri wa sarafu ya Tanzania Mheshimiwa Mtukufu Mwigulu Lameck Nchembe a.k.a Sokoine wa pili kama ajiitavyo.
 
Simpendi kabisa Mwigulu, na kila nikiona jina lake nakumbuka mauaji nyakati za uchaguzi... lakini nina maswali mawili
  1. Je kuna uhusiano gani kati ya hii thread na kuomba msamaha familia ya Sokoine??
  2. Je Mwigulu (the killer) anabebaje lawama zote wakati kuna TAMISEMI hapo inayohusika?

Natanguliza shukrani
NIANZE NA SWALI LAKO NO2! NI MMOJA WA WAJUMBE WA BARAZA LA MADIWANI WA HALMASHURI HIYO ILIYOFANYIWA HUO UPAGANI
2. SOKOINE HAKUWA MVUMILIFU WA AINA YEYOTE YA UHUJUMU. MWIGULU KAMA ANAYOJIITA SOKOINE II(namuomba Mungu Jina hili limlaani sana awe chizi wa dampo) kama diwani alikuwa na wajibu wa kulizuia mapema , kama mbunge ni lazima angekuwa ameshalipata kwani hiyo miradi iliyifisadiwa ndio inayowapa wabunge sifa na kujigamba. Sasa kama mfagio wenyewe umevunjwa au kuibwa atafagiliwa na nini! kama Waziri alikuwa na access na hazina! hivi serikali inatuma pesa tu kwenye halmashauri bila kuwa na returns? senge sana maccm
 
Mtamshambulia sana kiongozi wa watu lakini hamtaweza,tungeni mengi sana mtabakia na kubwabwaja.sisi tunayemkubali tutaendelea kumkubali.mh mwigulu ni LULU wa taifa hili kataa usikatae.ametusaidia sana kuthibiti matumiz hewa ya fedha za umma
 
Hawa ni wanachama wa - -VICHAAAA kazi yao ni kutunga uongo kwa ajili ya kuwachafua viongoz wanaokubalika,ili chama chao cha kikanda kukiinua na mshindwe na uroho wenu
 
Hawa ni wanachama wa - -VICHAAAA kazi yao ni kutunga uongo kwa ajili ya kuwachafua viongoz wanaokubalika,ili chama chao cha kikanda kukiinua na mshindwe na uroho wenu

Kwahiyo hizo nyaraka za baraza la madiwani ni za kutunga?
 
Ni bahati mbaya sana uongozi ngani ya nchi yetu hutegemea muingiliano baina ya watawala na wateuliwa. Haya yote hayatokei kwa bahati mbaya ndugu zangu ni mambo yanayofahamika na hata hatua zinazoweza kuchukuliwa zinajulikana.

watu tunaendesha maisha kwa mazoea na ubinafsi mkubwa na waafrika ndio tunaofuatia kwa unafiki baada ya bara Asia.

Hongereni wa TZ mnaojua kutumia fedha,chakufurahisha sote tutakufa nakuziacha japo tutazikwa kwa mapambio mazuri.
 
Ni bahati mbaya sana uongozi ngani ya nchi yetu hutegemea muingiliano baina ya watawala na wateuliwa. Haya yote hayatokei kwa bahati mbaya ndugu zangu ni mambo yanayofahamika na hata hatua zinazoweza kuchukuliwa zinajulikana.

watu tunaendesha maisha kwa mazoea na ubinafsi mkubwa na waafrika ndio tunaofuatia kwa unafiki baada ya bara Asia.

Hongereni wa TZ mnaojua kutumia fedha,chakufurahisha sote tutakufa nakuziacha japo tutazikwa kwa mapambio mazuri.
 
View attachment 229710View attachment 229711View attachment 229712View attachment 229713View attachment 229714View attachment 229715View attachment 229716View attachment 229717

Siongezi neno wala sipunguzi neno, ila eleweni Mwigulu ni mwizi na ndie alikuwa kiungo kati ya wizara na wezi wa Escrow na leo haya yametokea chini ya Naibu Waziri wa sarafu ya Tanzania Mheshimiwa Mtukufu Mwigulu Lameck Nchembe a.k.a Sokoine wa pili kama ajiitavyo.
Siku watu wawili Mwigulu Nchemba na mwenzake kijana vile vile Kighoma malima kwenda wizara pesa zetu nilitoa duku duku wazi kuwa hawa ni vibaka wameandaliwa kwenda kukomba hazina na kupata pesa ya uchaguzi sikueleweka!! ila sasa naeleweka. Mwigu sasa hataki kuiba kwa ajili wengine ila kwa ajili yake ili aende magogoni!!!
 
Sio swala la tamisemi yeye ndiyo tulimchagua kulinda lasilimali za iramba mbona upo kimiya kwa wizi huyo kwanini tusiseme mwizi ni yeye madiwani peke yao hawatamuweza DED anamlinzi tamisemi ambaye ni Hawa Gasiya
 
Wezi wanafahamika ni lema kuiba magari,slaa wake za watu.

watu wanapiga hella,wewe unapiga porojo jf kwa ujira mdogo..jionee huruma wewe zinduka.
hata Kama wewe unapewa,he shangazi yako,Bibi yako,na nduguzo wengine..poor ccm junk
 
Back
Top Bottom