Ufaransa, Rais apunguza mshahara wake na wa mawaziri kwa 30%

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
8,345
11,227
Wakati wabunge wetu wakihaha kudai kuongezewa "kipato chao" ili kufanya kazi kwa "ufanisi" zaidi, Rais mpya wa Ufaransa kapunguza mshahara wake na mawaziri wake kwa 30%.. read more

France's new government has held its first cabinet meeting and announced a 30% pay cut for President Francois Hollande and all his ministers.
A campaign promise, the cut reduces Mr Hollande's monthly salary from 21,300 euros to 14,910 (£12,000; $19,000).
The cut contrasts sharply with predecessor Nicolas Sarkozy's decision to increase his pay on entering office.
..............................

The pay cut was one of a number of steps announced by Mr Ayrault's government. Another was a code of conduct against conflicts of interest.

"We are here not only to manage the country, but to reform it, to overcome privileges and to improve the lives of the French people," said women's rights minister Najat Vallaud-Belkacem. Another minister spoke of "showing an example".

Source :: BBC News

Najiuliza hawa viongozi wetu omba omba wanapata wapi ujasiri wa kujiongezea mishahara wakati hao wanaowaomba wanapunguza mishahara yao, is this a curse or ??
 
Wakati wabunge wetu wakihaha kudai kuongezewa "kipato chao" ili kufanya kazi kwa "ufanisi" zaidi, Rais mpya wa Ufaransa kapunguza mshahara wake na mawaziri wake kwa 30%.. read more

Source :: BBC News

Najiuliza hawa viongozi wetu omba omba wanapata wapi ujasiri wa kujiongezea mishahara wakati hao wanaowaomba wanapunguza mishahara yao, is this a curse or ??

Ikiwa utaratibu huu uliowekwa na Presda wa Ufaransa, ungetumika hapa Bongo, I bet, nusu ya mawaziri wasingekuwa wanafanya party kubwa mara baada ya kuteuliwa kushika vyeo hivyo!
 
Back
Top Bottom