UfafanuziI: Je, kuna siri gani kwa baadhi ya magazeti kuvutana na serikali?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,397
Ndugu wadau Asalaam aleukum!,Tumsifu Yesu kristu,Bwana Yesu atukuzwe, mambo vip?
Natanguliza shukurani tujadili pamoja
Waingereza wanasema;
THE INFORMATION IS POWER!
Ndio maana serikali huwa ipo makini sana kuzuia taarifa zisitoke kuwafikia wananchi, Tena wakati mwingine huweka sheria Kali za kuwabana watoa habari, yote hufanyika kwa ajili ya usalama wa Taifa,
Kuna uvumi pia uliopo mtaani kuwa ...wakati mwingine gazeti flani linapotoa taarifa nyeti, serikali huwa inatumia kila njia kuzuia magazeti hayo yasisambae hata kwa kuyanunua magazeti yaliyo kijiweni kiasi kwamba gazeti hilo ukichelewa kulipata by saa 4 asubuh hulipati!
Anyway by the way kuna magazeti mengi yamefungiwa ama kufutwa kabisa kama Hivi juzi gazeti la MAWIO..n.k
Sasa je ni kweli wenye magazeti hayo hawaelewi taratibu walizopewa na msajili au hapa tatizo huwa ni nini?
 
Yaan ukwel kwamba serikali haitaki kubanwa au kuwekwa wazi juu ya madudu yao wanayoyafanya ndo maana kama gazet likitoa taarifa nyeti huwa serikali inakosa aman sasa kuwabana ni kufungiwa ili kama kuna gazet lingine linatabia kama hiyo ife tu automatically
 
Ebu twambie, wewe mwenzio akianika ya chumbani, hata kama ni kweli, kwa watoto, ndugu, na jamii, utalipokeaje? Huo mji utakuwaje baada ya hapo!!

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Back
Top Bottom