- Thread starter
- #21
Kama una mashaka na matokeo ya shule yoyote ya seminary unaruhusiwa kama mtu binafsi au timu ya watu kukata rufaa kwa maelezo kwamba una mashaka kuna udangayifufu wa matokeo.
Jambo hili ni kwa maslahi ya taifa haitoshi kupiga kelele tu bali ni pamoja na kuchukua hatua za kusonga mbele hadi baraza la mitihani.
kuna shule kama St. Paul na St. Magreath hazina Div 1 hata moja, hakuna Div 2 na Div. 3 hazizidi tano wengi wako div. 4 na ziro. Tazama kwenye tovuti ya baraza la mitihani zipo shule za kutosha za st. ambazo hazikufanya vizuri.
Hizo za div 1 zinauhusiano gani wa kibiashara na huyu mama? Maana elimu sasa imkuwa biashara kubwa. lkn why hawa wanafunzi wanapoangukia vyuoni huwa ndio wa mwisho kimatokeo?