Ufafanuzi: Safari za nje za ofisi ya CAG

Wewe unazani walioko serikalini ni watoto wa akina makamba kikwete,mwinyi na nnauye pekee..serikali umeshaiona ni ya kwenu peke yenu sio.. ukiona mwingine unataka kupasuka kwa chuki..
nasikia magu atakomaa na ishu ya poda..sasa sijui utaponea wapi
Vipi kamanda bado unazungusha mikono na kupiga deki barabara?
 
Sidhani kama hili lina shida.Sina shaka yeyote kwamba Ofisi ya Rais ikiwa ni pamoja na Rais mwenyewe wanaelewa assignment hiyo ya UN.Hili halina utata kwa kuwa UN wenyewe wanalipa.Sina shaka pia kwamba anajua Rais anajua umuhimu wa ofisi zetu za ubalozi kukaguliwa.Lakini pia ikumbukwe kwamba nia pana ya Rais ni kubana matumizi ili fedha inayopatikana ichangie maendeleo ya nchi.Kwa sababu hiyo nadhani ofisi ya Rais itatafuta njia ya kuhakikisha kwamba balozi zetu zinakaguliwa kwa kutumia fedha kidogo iwezekanavyo ili fedha ya ziada ichangie maendeleo ya nchi.Anaweza akaamua kutumia wakaguzi wa nchi husika na watuletee taarifa.Kwanza approach hii ni nzuri kwa kuwa itaondoa any possibilities of collussion.

Wewe ndio umetoa wazo mbadala. Wengine wengi ni wapayukaji tu.
 
kasema ofisi ya waziri mkuu, sijawahi ona pinda kaenda hata Kenya kwa maana ingine alikuwa anazungumzia ofisi ya mkubwa.
Alienda bwana... mbona nakumbuka kuna wakati alienda London akatangazia nia huko "kimya kimya"?
 
Kama mdau wa ofisi ya CAG napenda kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi kuhusiana na kinachoonekana safari za nje zisizo na tija katika ofisi ya CAG.

Katika hotuba yake Magufuli ameonyeshwa kukerwa na matumizi ya safari za nje zisizo na tija kwa taasisi za umma ikiwa pamoja na ofisi ya CAG.

Nifafanue kuwa safari za nje ofisi za ofisi ni kwa ajili ya kazi za Ukaguzi ofisi za balozi na taasisi za UN.Wakaguzi wa ofisi hiyo hulazimika kusafiri kwa makundi kwa kadri ya mawanda ya ukaguzi.

Aidha ofisi ya CAG ilipewa jukumu la kufanya ukaguzi katika taasisi za UN zilizotapakaa dunia nzima. Ukaguzi wa taasisi za UN ulianza 2013 na unaendelea mpaka hivi sasa.

Mafungu ya kufanya kazi hiyo hutolewa na UN. Hivyo sio kweli kabisa kwamba CAG anavuja pesa kwa safari za nje. Ikumbukwe kwamba safari hizi ni zile ambazo bajeti yake ilipitishwa na wabunge ikiwepo Mh.Magufuli aliyekuwa member wa cabinet.

Nimuombe Prof.Juma Musa Asad alitolee ufafanuzi suala hili ili kuepusha kuchafuka kwa taswira nzuri ya ofisi yake.

Kama CAG atajitokeza kufanya challenge ya maagizo ya Rais, he must go out of office.

Isitoshe bado tunakumbuka personal attack za Political entrepreneurship dhidi ya aliyekuwa Waziri wa ujenzi
 
Kama CAG atajitokeza kufanya challenge ya maagizo ya Rais, he must go out of office.

Isitoshe bado tunakumbuka personal attack za Political entrepreneurship dhidi ya aliyekuwa Waziri wa ujenzi

Mkuu ukitaka kutafuta panya chini ya meza unatikisa viti kwanza
 
Mdau umeguswa nini miladi ya UN hukaguliwa kwa fedha za UN I guess.
Ila ata kwa huo ukaguzi value for money ipo.
Maana usije tumia dola 1000 kwenda kagua issue ya dola 400 kisa mtu alimisplace voucher.
CAG ofisi mjitadhimini nijuavyo JPM atakula sahani moja na taasisi tajwa
 
Ukaguzi wa umoja wa mataifa (UN)
Ukaguzi huu serikali Ya Tanzania haitoi hata senti. Bajeti yake hutolewa na Bodi Ya ukaguzi Ya umoja wa mataifa(UNBOA) kwa nchi tatu ambazo zimechaguliwa kukagua agency za UN. Nchi hizo ni Tanzania, UK na India. Hivyo ofisi Ya ukaguzi Ya nchi husika hupewa hela kulingana na idadi Ya agency inazokagua na miongozo Ya matumizi Ya hela hizi.

:D:D:D povu limekutoka balaaa.
NAOT watasafiri na wataendelea kusafiri tuu sabab hakuna namna nyingine.
Pata tu mamoto then poozea na wine kama vip.
Hata mda huu kuna watu wapo huko huko nje wanaendelea na ukaguz na wakirud wengine wanaenda.
:):):) HAPA KAZI TU.

Sasa hizo safari hazihusu bajeti ya serikali ya Tanzania. Rais hakuwanyima hizo safari maana pesa hazitoki kwenye bajeti ya walipa kodi wa Tanzania. hamna sababu ya kuomba ruhusa kwenda huko maana hayatuhusu. Cha kujiuliza kwa nini unatoa mapovu? Watanzania wengi tu wanakwenda nje bila nongwa kwa pesa zao labda hufahamu kwa nini JPM alipiga stop. kama unafuatilia mada hapo nyuma nilisema JPM ana data ndio sababu alizuia hizo safari ambazo hazina tija zinazofilisi bajeti ya TZ. Kwa sababu hazina tija na kama zina tija waombe kibali, kama Great Tinker anaogopa kuomba kibali basi fahamu kuna jambo.
 
Mto mada pole sana, una hoja ila huwezi eleweka maana unaongea na wasio elewa lugha unayotumia
 
Yaani elimu kweli bado ni tatizo.
Jamaa kaeleza wazi kuwa CAG kaaminiwa na UN na kupewa tenda ya kukagua ofisi zake all over the world. Na kazi hii wanalipa UN sio govt ya TZ.
Kazi kidogo wanazolipa TZ ni kikagua balozi zake.
Sasa soma michango ya watu. Hapa utajua kwa nini elimu ni muhimu.

Kukagua ofisi gani? Unasema TZ wanalipa kidogo hizo kidogo ji kiasi gani na ni zinatumika vizuri?

Za watanzania za nchi zote za duniani? Ukaguzi huo unasaidia nini nchi yetu kwa wao kubebana wengi.

Bila kusahau la muhimu kwanini kasema BUNGE lilipitisha bajeti. ..narudia BUNGE je bunge letu linapitisha bajeti ya UN?

Wanakula hovyo ni lazima wanyooshwe. Imemuuma kitu walizoea vibaya

Bunge letu linapitisha bajeti wao wanatumia ovyo kujipa raha na bado
 
pwc, delloite, kpmg na ey watu wanasafiri daily.. na secondment kibao majuu na bado hawapati hasara..

why wakaguz wa CAG wasisafiri kama nao hawasababishi hasara.. ila kama safari zao hasara ni kubwa kuliko faida hapo kuna haja ya kupiga chini hizo safari..

ila kama zinalipa na faida ni kubwa wacha wasafiri wakafanye kazi wajenge nchi.

safari za nje hazina shida kama zina add value maana hata makampuni binafsi as Mantrac, bollore, Dhl na wengineo wengi ambao ni wazuri kwenye ku cut cost ila bado watu wanasafiri kila kukicha for trainings na mambo mengineyo yanayo add value
Kumbuka sana kwamba Serikali haifanyi biashara.. Wanatumia tu pesa zitokanazo na kodi zetu.. Pamoja na misaada ya wahisani.
 
Kama mdau wa ofisi ya CAG napenda kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi kuhusiana na kinachoonekana safari za nje zisizo na tija katika ofisi ya CAG.

Katika hotuba yake Magufuli ameonyeshwa kukerwa na matumizi ya safari za nje zisizo na tija kwa taasisi za umma ikiwa pamoja na ofisi ya CAG.

Nifafanue kuwa safari za nje ofisi za ofisi ni kwa ajili ya kazi za Ukaguzi ofisi za balozi na taasisi za UN.Wakaguzi wa ofisi hiyo hulazimika kusafiri kwa makundi kwa kadri ya mawanda ya ukaguzi.

Aiqdha ofisi ya CAG ilipewa jukumu la kufanya ukaguzi katika taasisi za UN zilizotapakaa dunia nzima. Ukaguzi wa taasisi za UN ulianza 2013 na unaendelea mpaka hivi sasa.

Mafungu ya kufanya kazi hiyo hutolewa na UN. Hivyo sio kweli kabisa kwamba CAG anavuja pesa kwa safari za nje. Ikumbukwe kwamba safari hizi ni zile ambazo bajeti yake ilipitishwa na wabunge ikiwepo Mh.Magufuli aliyekuwa member wa cabinet.

Nimuombe Prof.Juma Musa Asad alitolee ufafanuzi suala hili ili kuepusha kuchafuka kwa taswira nzuri ya ofisi yake.

Wafanyakazi wa serikali mliokuwa mnanufaika na hizo safari za nje lazima mtalalamika sana.
 
tena huyo asad wako ndiyo anatafutwa sana ,manake si alimponda MTUMBUA JIPU,halafu uache uongo wa kitoto UN imewapa kukagua ofisi zake hapa nchini ,eti mtoke hapa mkakague ofisi za UN NEW YORK
Kama mdau wa ofisi ya CAG napenda kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi kuhusiana na kinachoonekana safari za nje zisizo na tija katika ofisi ya CAG.

Katika hotuba yake Magufuli ameonyeshwa kukerwa na matumizi ya safari za nje zisizo na tija kwa taasisi za umma ikiwa pamoja na ofisi ya CAG.

Nifafanue kuwa safari za nje ofisi za ofisi ni kwa ajili ya kazi za Ukaguzi ofisi za balozi na taasisi za UN.Wakaguzi wa ofisi hiyo hulazimika kusafiri kwa makundi kwa kadri ya mawanda ya ukaguzi.

Aidha ofisi ya CAG ilipewa jukumu la kufanya ukaguzi katika taasisi za UN zilizotapakaa dunia nzima. Ukaguzi wa taasisi za UN ulianza 2013 na unaendelea mpaka hivi sasa.

Mafungu ya kufanya kazi hiyo hutolewa na UN. Hivyo sio kweli kabisa kwamba CAG anavuja pesa kwa safari za nje. Ikumbukwe kwamba safari hizi ni zile ambazo bajeti yake ilipitishwa na wabunge ikiwepo Mh.Magufuli aliyekuwa member wa cabinet.

Nimuombe Prof.Juma Musa Asad alitolee ufafanuzi suala hili ili kuepusha kuchafuka kwa taswira nzuri ya ofisi yake.
 
[h=1]PINDA AENDELEA NA ZIARA OMAN[/h]
196.jpg

254.jpg

341.jpg

kasema ofisi ya waziri mkuu, sijawahi ona pinda kaenda hata Kenya kwa maana ingine alikuwa anazungumzia ofisi ya mkubwa.
 
Namwuunga mkono rais. Hakuna CAG wala Cog wote nyine ma-con tu. Muda mrefu mmekuwa mnawanyonya Watanzania maskini bila ya huruma. Haya msiende huko nje kukagua tuone kama dunia itasimama!
 
Unajua nini kinatokea. UN wanalipa kila kitu, ila jamaa wa NAOT wanavuta per diem mara mbili, za UN na NAOT....Huo mchezo upo kwenye taasisi nyingi sana serikalini.
 
Back
Top Bottom