Mie hata sielewi mara mpare mara anatoka Songea, sikujua kama siku hizi Songea pia kuna Wapare.
Yule mama si mtu wa Songea?
Yule mama si mtu wa Songea?
Mie hata sielewi mara mpare mara anatoka Songea, sikujua kama siku hizi Songea pia kuna Wapare.
..kwao ni usangi mwanga kilimanjaro.
..tena ni mtoto wa Chifu/Mfumwa Shaaban Mndorwe Mtengeti Sangiwa.
..baba yao alifariki wakiwa na umri mdogo hivyo wamelelewa na mama yao ambaye ni mtu wa pwani.
cc AudiG7
Kwa kauli yake mwenyewe mama Migiro jana alitamka amezaliwa Songea!! Sasa labda watueleze kuwa baba yake mzazi ni mpare, kwa kuwa yote yanawezekana kuzaliwa Songea lakini baba mpare kwa sababu labda baba alikwenda huko kikazi!!!
JK rais lakini anaongoza kikao kikubwa kama anatungua maembe Bagamoyo.
Magufuli kamaliza kutoa speech, JK kamdaka, akamwambia "mbona hujaimba hadi mselema?". Magifuli ikabidi arudi mimbarini kuimbisha "Hadi mselema, hadi mselema, Kikwete selema".
Nikaona kama habari yenyewe ndiyo hii tunaanza kuona remote cintrol inavyofanya kazi. Magufuli aangalie Ikulu yake isiendeshwe kutoka Msoga.
Huna shughuli za kufanya wewe? Acha mambo private ya Watu. FANYA yako.
Hilo la kuzaliwa Songea linawezekana.
Ila pale alipigoma kusaidiwa mkoba hata mm nimeshangaa
Kwako wewe lakini kwa wengine alichotamka ni kashfa kubwa sana. Hata kama unataka kufanya unataka utani hadharani lazima uwe makini vinginevyo hutaeleweka na jamii iliyokuzunguka. Si kila utani unastahili kutumika hadharani.
Inawezekana Seif Khatibu ni mzazi mwenzie kwa sababu kinamama wa siku hizi huzaa hapa na pale.2
Kwa pamoja ama kila mtu na wakati wake :?
nakumbuka mbona hata dr. aisha kigoda alimuuita seif khatibu mpenziwake sasa sielewi huyu mzee vipi
https://www.jamiiforums.com/mahusia...seif-khatibu-watangaza-penzi-lao-bungeni.html