Uefa- timu gani ina uwezo wa kuwatoa barcelona na real madrid za msimu huu

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,861
6,228
Heshima kwenu wote wadau wa mpira, Binafsi ni mshabiki wa Man utd na timu yangu ni nzuri ya mwaka huu na inanipa matumaini inavyogawa dozi kwenye premier league kila siku, bt ninaombea nisipangwe na hao watu wawili Barcelona na Real madrid wa msimu huu sababu najua shughuli ya hao watu ni nzito especially Messi,

Wadau hebu tusaidiane kwenye hoja, Ni timu gani inaweza kumtoa barcelona au madrid UEFA zaidi ya kutoana wenyewe kwa wenyewe, ,,,
 
hao Barcelona watawasumbua magagulo wenzao wa Spain na England lakini sio Inter wala ngoma ngumu AC Milan....
 
Hahahahaaaa! Afadhali mmeona na kutambua kiboko yenu kwenye mitaa hiyo ya UEFA!! Liverpool ingekuwemo ingewaondolea hicho kitendawili, lkn mlivyo na gundu haimo kwa hiyo mnalo jiandaeni tu kula za chembe kama jamaa hawatapambanishwa!! Haahaahaaaa!
 
Kwa sasa huwezi sema ni timu ipi itawatoa kwa sababu timu nyingine shiriki huwa zinaimarika kadri michuano na ligi za kwao zinavyoendelea.Hivyo si ajabu somewhere wakaangukiwa na tembe.
 
Back
Top Bottom