UEFA QUARTER FINAL: Can't wait eight Remain

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,691
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man City
🇪🇸 Barcelona
🇪🇸 Atlético
🇪🇸 Real Madrid
🇩🇪 Bayern
🇩🇪 Dortmund
🇫🇷 PSG

IMG_20240314_015810.jpg
 
Arsenal naipa nafasi ya tatu kuchukua ubingwa, nyuma ya Man City na Real Madrid.

Bayern Munich namuweka nafasi ya nne, nyuma ya Arsenal.
 
kuna uwezekano mkubwa apo wa spain wakakutanishwa Robo hongera kwa Atletico madrid jana kufuzu Robo fainali msimu huu wa italiano wote chali
 
Football made in Spain
Huwezi amini mkuu, EPL naona Man City na Arsenal ndo wanacheza mpira, hawa wengine sijawaelewa kabisa, huwezi nikuta nakaa chini natazama EPL, huko kwa Man City ni zile big matches ndo natazama.

Spain hata wakicheza Sevilla na Villareal mpira utaupenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom