UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
kwa wapenzi wa timu ya arsenal mwaka huu,mnaweza mkaisikia uefa kwenye bomba kwani naona huyu kocha bado hajakubali kuwa hizo sera zake,zime fail za kutosajili wa2u wenye uwezo.hata jana imefungwa na timu ya benfica 2-1.kwa staili ile ile anaanza kushinda,lakini mwishoni anafungwa yeye!kazi kwenu na band yenu.

Alex Chamberlain ataimarisha kikosi
 
kwa wapenzi wa timu ya arsenal mwaka huu,mnaweza mkaisikia uefa kwenye bomba kwani naona huyu kocha bado hajakubali kuwa hizo sera zake,zime fail za kutosajili wa2u wenye uwezo.hata jana imefungwa na timu ya benfica 2-1.kwa staili ile ile anaanza kushinda,lakini mwishoni anafungwa yeye!kazi kwenu na band yenu.

ile na benfica iliuwa friendly match.. dhumuni kubwa la wenger ilikuwa kuwajaribu baadhi ya vijana kama wataweza kukaa starting 11 ... UEFA tumo kama sikuzote ... na tutapita tu! usiwe na wasiwasi ..

friendly matches sio za ku judge uwezo watimu yetu!...
 
Arsenal mtabaki kuwa wasindikizaji hadi Wenger atakapobadili philosphy na kuanza kuspend.
 
Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! waacheni hivyo hivyo wasije leta tabu bureeeeeeeeeeeee. Man Utd forever for always.
 
acha wehu wewe! Mbona hata hao waliosajili wananyukwa? Kama aina ya wachezaji ndo yule kipa wenu bora kutosajili kabisa.

uzuri mwaka huu tunamaliza ligi mapema! ie tunacheza na so cald big 4 mwanzon! namwaminia mzee wenga! anayebisha tupinge! aweke haus gal hapa tuone!

ile na benfica iliuwa friendly match.. dhumuni kubwa la wenger ilikuwa kuwajaribu baadhi ya vijana kama wataweza kukaa starting 11 ... UEFA tumo kama sikuzote ... na tutapita tu! usiwe na wasiwasi ..

friendly matches sio za ku judge uwezo watimu yetu!...
Washabiki wa Arsenal mnafurahisha sana jinsi kila mwaka mnavyoishi kwa matumaini na kocha wenu lolzz!!!!
 
1. Lyon{France} vs APOEL FC {Cyprus}

2. Napoli {Italy} vs Chelsea {England}

3. Ac Milan {Italy} vs Arsenal {England}

4. Basel {Switzerland} vs Bayern Munich {Germany}

5.Bayer Leverkusen {Germany} vs Barcelona {Spain}

6. CSKA Moscow {Russia} vs Real Madrid {Spain}

7. Zenit St Petersburg {Russia} vs Benfica {Portugal}

8. Marseille {France} vs Intel Milan {Italy}
 
_57388045_basel.jpg

Swiss side FC Basel knocked Manchester United out of the Champions League Manchester United could return to this season's Champions League if the Swiss Football Association fails to comply with Fifa and punish FC Sion.

Sion were thrown out of the Europa League for fielding ineligible players in their match against Celtic.

The Swiss FA has until 13 January to act and Fifa has threatened to suspend Switzerland and their club sides.

If the ban took effect, FC Basel would be ejected from the Champions League and United could be reinstated.

The Swiss champions knocked Sir Alex Ferguson's side out of European football's elite competition and into the Europa League, earning a 3-3 draw at Old Trafford before winning the home match 2-1.
Sion were put under a transfer embargo over the signing of Egyptian goalkeeper Essam El Hadary, but proceeded to sign six players in the summer.
http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/16230934.stm#skip_feature_02

Should the deadline not be respected, the Swiss FA will be automatically suspended from 14 January 2012 onwards
Fifa statement

The six players took their case to a civil court in the canton of Valais, which ruled they could play, and subsequently fielded them in the Swiss league.

Sion then fielded five of the six players during the Europa League play-off tie against Celtic and were kicked out of the competition as a result, with Uefa's decision to expel them upheld by the Court of Arbitration for Sport on Thursday.

Fifa has now ordered the Swiss FA to enforce a ban on registering six Sion players signed during the transfer embargo.
"As a consequence, all matches in which the relevant players participated shall be declared forfeit or three points shall be deducted respectively," Fifa said. "Should this deadline not be respected, the Swiss FA will be automatically suspended from 14 January 2012 onwards."

Under the terms of a Fifa suspension, a country's national and club teams, referees and officials are prohibited from taking part in international matches and meetings, or receive Fifa funding.
Uefa said it was confident the Swiss Football Association would comply with the Fifa request before the January 13 deadline. "Should this not be the case Uefa will review the situation nearer the time," added European football's governing body in a statement.

source bbc
patamu hapo cant wait Man u kurudi champions league!!!!!
 
Dah!! If that is the case; is the Golden chance for Manchester United.

What a shame?! Unaombea mtoto wa jirani yako afe ili wa kwako awe wa kwanza darasani. Hii style ndio Rage aliitumia kuwapa mteremko Waydad Casablanca. Na kwa taarifa yako, ni kujitafutia humiliation nyingine kwa Bayern Munich na hiyo timu yenu ya freemason
 
Quarter Final CL.

Apoel Vs Real Madrid.

Barcelona Vs Ac Milan.

Chelsea Vs Benfica.

Bayern Munich Vs Olympic Marseille.

That is how the draw look like in destination Allianz Arena.

Who's going to progress and who's going to go home harms behind back??

Champions League continues.

The last four(Semi Finals) might have the following look:

Marseille or B.munich vs Apoel or R.M

Benfica or Chelsea vs Milan or Barca
 
Quarter Final CL.

Apoel Vs Real Madrid.

Barcelona Vs Ac Milan.

Chelsea Vs Sporting Lisbon.

Bayern Munich Vs Olympic Marseille.

That is how the draw look like in destination Allianz Arena.

Who's going to progress and who's going to go home harms behind back??

Champions League continues.

Semi final zitakuwa.

Marseille or B.munich vs Apoel or R.M
Benfica or Chelsea vs Milan or Barca
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom