UDSM hali ndio hii ? hatari lakini salama

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Mmm
15.JPG
 
Bora hapo mtaroni mkisogeza tuu kichakani mtapata mkasa ambao utawasononesha maisha yenu yote yaliyobaki hapa duniani
 
Ndo gharama za ukubwa hizo nyie mliambiwa mkue muyaone mlidhania magorofa?
 
Kama wanalia vile lakini pia inaonekana wanaikimbia kamera isiwaone usoni!!! Lakini mpaka kuingia mtaroni kulikuwa na noma na nadhani ni ile noma ya juzi!!! Poleni wadogo zetu, hata nyie kupata huo mkopo nasi pia tulipigwa 1995!!! Kwanza mtaa wa Jamhuri!!! Na alikuwapo Bilal na Qororo
 
du! Mkuu umenikumbusha mbali kweli, enzi zile tukienda pale Jamhuri wakati huo Ben Mkapa ndie waziri wetu na katibu wake ni Dr. Bilal, RC alikuwa Gewe!! Moto uliwaka pale Jamhuri St.
 
Poleni jamani...ndo ukubwa... sasa itakuweje kwa akina dada ambao hasa.... Chonde chonde mvumilie muda wa kurudishwa utawadia mapema... Mkadara ni rafiki yangu nitaongea nae afanye haraka kumaliza masuala haya.
 
elimu ya africa ni mateso shida nyingi kila kukicha, poleni kina dada hata vitani kina mama na watoto ndo hupata tabu zaidi.
 
du! Mkuu umenikumbusha mbali kweli, enzi zile tukienda pale Jamhuri wakati huo Ben Mkapa ndie waziri wetu na katibu wake ni Dr. Bilal, RC alikuwa Gewe!! Moto uliwaka pale Jamhuri St.

Tulikuwa pamoja ndugu, baada ya kupigwa mabomu, virungu vilitembea ile noma. Nilikimbia mpaka kariakoo bila kusimama wala kuangalia magari...ni mbio tu. Mambo ya kunji hayo!!
 
Inaelekea Tzee sasa hivi inaimport mabomu mengi sana ya machozi. Nilishangaa hata wale watoto wa primary waliogoma kwa kuwekewa uchafu FFU walienda na mabomu na bunduki...Mh!
 
Back
Top Bottom