UDOM mtasahisha hiyoo mitihani au ulikuwa utalii ule

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Hivi hawa UDOM,watasahisha hiyo mitihani au ndo kamali za kimitihani.....
napatwa na wasiwasi sana kwa taarifa za ndani kabisa watu wameweka watu wao na mtihani ule ulikuwa ni kuwaleta watu kufanya UTALII WA NDANI KWENYE majengo ya UDOM
 
Yawezekana kabisa ndio maana waliita watu wote hao kwenye interview maana
 
UDOM ni wasanii waliobobea kwenye sanaa, niliwambia kuwa kuna baadhi ya watu walishafanya interview ile kabla ya siku ile, na msimamizi aliwataka kama wapo kwenye chumba cha mtiani a.k.a interview basi wasirudie tena kufanya. APO JUMLISHA MWENYEWE UKIPATA JIBU PIGIA MSTARI
 
Back
Top Bottom