UDOM HALI NI TETE! Waziri mkuu na Rais wa Nchi njoo UDOM.

Tulielezwa UDOM ni kama Barcelona vipi tena?

Kwani mmeamua kumuuza Mess, Eniesta, Xavi?

Kama hali ya maisha ni hiyo inaashiria kuwa ni kweli mabinti wa UDOM wanajiuza hadi kwa jero jero au buku buku.
dah umenifurahisha sana aise!!! embu tumuite bwana Domu aje atuhakikishie!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
hiyo ndo kazi ya udom kwani kazi ya kubwa ni kuiba fedha za wanachuo na kutowapatia kwa muda. wanachuo wakigoma wanafukuzwa. hebu haki itendeke:target:
 
Taarifa za kuaminika ni kwamba pamoja na serikali ya Jk kutoa pesa mapema za kujikimu, Mpaka sasa Tangu chuo Kifungue Mwaka Jana zaidi ya wanafunzi 1500 hajapata sitahiki zao.

Kinacho shangaza ni pale wanafunzi wanapoenda Kudai wanapewa majibu ya kama vipi ahilisha Mwaka uje Mwakani.

Kitendo hiki kinaweza kufanya habari za mwezi uliopita kuwa wana UDOM Wanajiuza kuwa za kweli. Wanafunzi wamekuwa na Maisha Magumu na Kuto kukopesheka tena hapo chuoni na badala yake kula Chapati na Viazi tu.

Nilivyo zungumza na kiongozi Mmoja wa serikali ya wanafunzi amesema wanaanda utaratibu wa Siri wa kumuona Rais au waziri Mkuu.

Kikwete ukoa Udom maana ndiyo jicho lako na linalokupa wewe sifa kubwa afrika.

Kwani si mgome kama tulivyokuwa tukigoma UDSM kudai haki zetu?
 
poleni sana maana hata kugoma hamuwezi tena baada ya kutiwa uoga... kama vipi ahirisheni masomo
 
:glasses-nerdy: Hao 1500 hawaeleweki. Orodhesheni majina angalau 100 hapa ya mwanzo na 100 mwishoni mwa orodha ili tuelewe mambo haya. kama mfumo islam au mfumo kristo.

Nasema hawaeleweki kwa sababu waliopokelewa mwaka 2012 ni elfu tano na kidogo. wengine wametimiza amri ya kujiunga na chama chetu. hawa wakaidi tutawashughulikia kwa kuwanyima mahela ili waende zao tuimarishe chama.

Nawashauri wakachukue tu kadi au basi wahudhurie mikutano na vikao vya chama chetu halafu huko watoe dukuduku lao kama wiki inayofuata watakuwa hawajafikiriwa mahela yao. FUATA USHAURI HUU KAMA HAMJAFANIKIWA ASILIMIA ZOTE ZINAZOANDIKIKA.

HERINI WATANZANIA WENZANGU KWA MWAKA MPYA 2013.
 
Hivi nyie wasomi kabisa mnashindwa kuelewa kwamba hapo chuoni kuna ABRAKADABRA inayofanyika? Kwanza muhadhiri wenu kawekwa na jamaa mwenye nyumba na wameolea sehemu moja hivyo msitarajie mambo yatakaa sawa bila nguvu ya umma? Pambaneni ukombozi hauji hivi hivi kirahisi rahisi mfipofanya itakula kwenu wao hawana habari tena utakuta fedha zenu zipo zimewekwa FIXZED ACCOUNT Nawaambia pambaneni muokoe jahazi kabla halijazama shauri yenu
 
There are currently 120 users browsing this thread. (31 members and 89 guests)


[h=2]User Tag List[/h] Helllllllllllowwwwwwwwww Happy new year.........2013.,teh teh teh......
 
Eti majengo nenda kaulze mtaani product ye2 hasa walimu utaambiwa usibebwe na jina la chuo angalia unatoka na nin kichwani
 
Sina huruma nao mie hayo si majitu ya CCM sehemu kubwa ? Pia ni Chuo cha Kiislam nasikia waende mikitini wakapate pesa huko kama ziko .
 
Back
Top Bottom