udhamini wa kusoma nje ya nchi unapatikana!

Kama una nia ya dhati ungetuwekea web page au physical address ya ofisi yako otherwise una ajenda ya siri Somi au unatafuta totoz?
 
Masharti tena? mbona unatutisha? tuweke wazi kama kweli una nia ya kusaidia watu


wabongo bwana kwa kupenda vya bure..kitu gani kisichokua na masharti duniani???...aisee kweli like father like son...kama ilivyo serikali kupenda misaada ya bure bure na wanachi hukohuko kwa mkondo.......sasa sijui unataka uambiwe fika kesho airport saa kumi jioni na pasport yako tu visa,tiketi na vyote ni juu yetu....then saa nne usiku unapanda ndege kwenda shule.......hehehe...bongo Dsm tambarareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee......
 
Back
Top Bottom